Ni swali gani uliwahi kuulizwa kwenye interview likakuacha hoi?

Hata mm niliulizwa swali Kama hili kwenye interview Tanesco.
What is your weakness?
Answer:I become uncomfortable when the work is done below my standard.
Baada ya hapo interviewers wote walibaki hoi kwa vicheko na kuvunja mbavu.
Na interview ikavurugika ikawa mwisho hr akaniruhusu niondoke.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilivurugika na kuishia hapo kivipi mkuu? Inamaana ulijibu vzur au vibaya?

Sent using My phone
 
Ilivurugika na kuishia hapo kivipi mkuu? Inamaana ulijibu vzur au vibaya?

Sent using My phone
Nilijibu vizur ila kisiasa zaidi ndio maana ikawachekesha.
Interview ikabid iishie hapo kwa sababu hr alishindwa kuirudisha panel kurudi kwenye mood ya kawaida.
Wana panel wote walizidiwa na vicheko ikawa Kama kwenye tasnia ya comedy Kama kina mpoki,tinwhite,maufundi na joti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uamkapo asubuh unafanyaga nini cha kwanza________alafu_______alafu_____alafu nilikua najibu najaziwa alafu mpaka nkapotea kwenye msitari nilipatwa na hasira
 
Mimi niliwahi kumuuliza mtu ninayefahamiana nae pale nnapotarajia kufanya interview aligoma kunitajia, sijui alifikiria nini aisee aliniudhii

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa wanakera sanaaa, kuna siku nilienda interview moja. Nikamvuta jamaa chemba nikamuuliza, akanijibu we taja tuu amount inayokutosha. Matusi niliyompa moyoni, Mungu amenisamehe
 
Nakumbuka ilikuwa ni hospital ya missionary...

Baada ya kuingia chumba cha interview... Swali la kwanza kuulizwa Lilikuwa ni hili, endapo tutakuajiri katika hospital yetu , Tukulipe kiasi gani ?
 
Nakumbuka ilikuwa ni hospital ya missionary...

Baada ya kuingia chumba cha interview... Swali la kwanza kuulizwa Lilikuwa ni hili, endapo tutakuajiri katika hospital yetu , Tukulipe kiasi gani ?
Ukajibu vipi Mkuu? Au ulileta habari za scale zao?Pesa uliotaja ndio uliolipwa?
 
mimi nikiwa interviewer niliwahi kumuuliza candidate kama ana marinda maana nilikuwa simsomi akabaki ametoa macho
 
Ilikuwa mara yangu ya kwanza kupiga interview kwenye international NGOS moja,maswali yalikuwa technical sana japp niliyajibu jibu.

Ikafika muda naambiwa niulize swali, mbona walipoteana humo na tokea hapo nikaanza itwa "asymmetrical"
 
😂😂😂😂😂😂
Kuna interviewer wengine wanauliza.
What are your hobbies?
Wengi wenu mnasemaga FOOTBALL
watauliza. What is your favourite team.
Hapa usije ukajichanganya kutaja club za ulaya maana watakukamata uongo.
Wewe waambie ni mpenzi wa Muungano sports club ya Hedaru.
Hapa utawafunga mdomo maana hedaru shooting au muungano sports za Hedaru hawazijui
 
Back
Top Bottom