Ni suala la muda tu zitto kuwa shujaa au kuthibitika usaliti wake.

Dotto C. Rangimoto

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
1,985
1,282
Tunasubiri KK kutoa maamuzi yake mara baada ya kupokea utetezi wa Zitto wenye lengo wa kulinda uanachama wake. Maamuzi ya KK ndio yatahibitisha usaliti wa Zitto na hii endapo utetezi wa Zitto utashindwa kumtoa kwenye njama za kupanga kukihujumu chama, hususani kile kinachoitwa njama za kuunda kundi lenye lengo la kufanya mapinduzi ya uongozi.

Pamoja na hayo binafsi ningali najiuliza, hivi Zitto aliwahi kuchukua fedha na hundi toka CCM ili aimalize CHADEMA? Je, Zitto anauza utu wake? Je, Zitto ni mnafiki? kama ndivyo kwanini kamati kuu haikumvua nyadhifa zake na kumshitaki kwa makosa hayo? Kwanini makosa ya Zitto yaliyotangazwa na Lissu kwa niaba ya chama si hayo ya kutumika na CCM, kuchukua fedha toka CCM na TISS, kuuza majimbo kwa CCM? na kutoshiriki kwenye ujenzi wa chama? Kwanini chama kiliendelea kukanusha kuwa sababu za kumvua nyadhifa Zitto si hizo hata mara baada ya Zitto kusema WARAKA haukumvua nyadhifa zake? Mbona kuna baadhi ya wanaCHADEMA wanaendelea kuimba wimbo wa Zitto kutumika na CCM hata mara baada ya chama kukanusha? Je, tukisema hizi ni propaganda zenye lengo la kuumpa mbwa jina baya ili mpate kuhalalisha kitendo cha kumuua huyo mbwa tutakosea?

Zitto atakuja kuonekana shujaa kama tuhuma za usaliti dhidi yake ni propaganda za kum-maliza kama vile uhaini kwa Mandera ulivyokuwa ni propaganda za Makaburu; na hii endapo akiibuka mshindi na fikra zake zikija kuisuma mbele chadema toka hapa tulipo. Kitendo cha Lissu kukana hizo tuhuma kuwa si sababu za Zitto kuchukuliwa hatua za kinidhamu ni kiashiria tosha kuwa hizo tuhuma ni propaganda za maadui wa Zitto, na tutasikia mengi kabla ya Zitto kufukuzwa chadema RASMI.

Hiki anachofanyiwa Zitto ni dhambi kama itakuwa ni njama za kummaliza, na haitawaacha salama wale walioifanya, ni sawa na kula nyama ya mtu, leo utakula familia za majirani, ukiwamaliza hao utaanza kuila familia yako. Utaanza na beki tatu, kisha watoto na utamalizia kwa mke. Hili likija kutokea wale mabeki tatu wanaoshinnda mitandaoni watatamani ardhi ipasuke waingie na kujifiche, lakini ardhi haitapasuka na wataliwa huku wajiona.

Pia tuelewe hadi sasa kuna baadhi ya watu wameshastuka, iweje kila mwenye kuhoji utendaji kazi wa Mbowe aitwe msaliti? Kwanini kila mwenye kuhoji matumizi ya fedha aonekane msaliti? Kwanini Chacha Wangwe aliandamwa ikiwa hoja zake hadi sasa hazijajibiwa? Kwanini watu wanaishiwa kuitwa wasaliti bila hoja zao kujibiwa au kufanyiwa kazi? Watu waitwe wasaliti, lakini hoja zao zilizotka hadharani zijibiwe ili tupate kuuamini uongozi wetu lakini kubwa tupate kuuamini huo usaliti wa wahusika.

Tuache chuki na kuzushiana, kwani hazitujengi hata kidogo na tabia hizi zinafanya chama kuonekana mali ya watu badala ya mali ya wanachama.
Tuhuma zisizothibitishwa ni uzushi, uzandiki na siasa chafu zenye lengo la kutimiza malengo binafsi badala ya chama.

MUNGU IBARIKI CHADEMA NA VIONGOZI WAKE.

Njano5.
0655345394
 
Njoo huku ule Matapishi yakp
 
Hope umeshajionea mwenyewe!!! USALITI wa ZZK haukuanza leo wala jana ...

Kama ulivyo sema ni suala la muda tu; labda maswali machache tujiulize hapa:-
  1. ZZK ndio mbunge pekee asiyechukua posho na wakati huo huo hana biashara anayoifanya, swali; mbona maisha yake hayafanani ni na mshahara peke yake?
  2. Kwa makombora ambayo amekua akiyatupa kwa serikali na mtoto wa mkulima; kwanini vyombo vya dola hua havimsakami kama wapinzani wengine!?
  3. Mwaka 2007 Dr Slaa aliwahi kutangaza mshahara wake pale Singida, bunge na vyombo vya dola vilimsakama sana, zzk alitangaza mshahara wa pm na raisi, sina kumbukumbu kama aliwahi hata kuitwa na yoyote zaidi ya mtoto wa mkulima kukana tu bungeni.
  4. Dr Mwakyembe na report yake ya Richmond tunajua nini kilicho mpata, zzk anazo za hivyo nyingi; mbona hua hapati misuko suko kama wengine?
Ni suala la muda tu, rangi halisi ya zzk tutaifahamu
 
Back
Top Bottom