Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 8,327
- 13,637
Matajiri wahame kabisa hii nchi tubakie Watanzania wanyongeHii nchi ni mitego kwa kila Tajiri
Matajiri wahame kabisa hii nchi tubakie Watanzania wanyongeHii nchi ni mitego kwa kila Tajiri
Wale Uhamiaji hawakutumwa na Serikali na si kila Mtumishi wa serikali akifanya unyama au ujinga huwa ametumwa na Serikali wengine hujichukulia sheria mikononi kienyeji kwa kivuli cha Serikali, Devis mosha hapambani na Serikali wala nini usipotoshe umma bali amejihami dhidi ya Uhamiaji wachache waliokwenda kumharibia biashara, kumfukuzia wateja kwenye nyumba zake, huko mahakamani umetabiri hukumu? Kaa ukitambua kuwa watanzania wameamka wanajua mtu anayejitetea na yule anayepambana pia.Hahahaaa wachaga tunawajua sio mchaga huyo mshamba wa kupambana na serikali ndio uchaga huo?? Hahahaa tukutane mahakamani
Sheria ilipaswa kufuatwa pande zote kwani hao Uhamiaji waligoma kutoa vitambulisho pia hawakuwa na Mwenyekiti wa Serikali za mitaa na tatu walirecord video na kuzisambaza kwenye Mitandao, huo ni mfumo wa Utendaji kazi wa maafisa wa Uhamiaji?Kwani sheria inasema ukiwadhalilisha maafisa wa uhamiaji hustahili kupata dhamana?!
Maadali, miiiko ya kazi haizingatiwi wengi wanafanya kwa mihemko na kukurupuka matokeo yake wanaiaibisha Serikali.watu wa usalama siku hizi hawajielewi kuanzia weledi, kufuata taratibu na sheria pia utoto mwingi na kukomoana
😂😂😂😂😂😂umbea tu, walioko jikoni wananuka moshi tuondolee propaganda zako
Haki itapatikana mahakamani, si hata zimeanza kuchukuliwa?Huyu mosha alitakiwa kuoshwa kwanza na mahabusu wenzie na kuachiwa kwake kwa dhamana ingawa ni haki ila katika hili ni kuendelea kuwadhalilisha wale waliotendewa kadhia hiyo wakiwa katika utekelezaji wa majukumu yao..fikiria yule aliekunjwa na kuambiwa atachapwa vibao je familia yake inamtazamaje?? Watoto wake wanamtazamaje wanapojua kumbe baba anaweza kuchapwa vibao na tajiri mmoja asiekua na adabu je huku si kuwavunja nguvu watumishi hawa?? Mimi hapa naona jela ya jamaa inavyozidi kufanya kazi, naona walio na mamlaka ya kushughulikia hili wanavyotumia sheria vibaya kumlinda aliesema ataichapa vibao serikali. Kuidharau serikali ina maana umemdharau mpaka Rais wa jamhuri anaeiongoza kua serikali yake unaweza kuichapa vibao kwa pesa zako. Wenye mamlaka na kesi hii tumieni vizuri sheria kunyoosha watu wenye kiburi cha pesa kama daviiiiiiss moossssha...wanaozarau mamlaka ya vyombo vya ulinzi na usalama vilivyowekwa kikatiba. Lakini pia serikali ijiridhishe na mtu huyu alipataje utajiri huu tangu alipoanza maisha na vyanzo vyake vya pesa vijulikane vilijizaa vip mpaka kufikia hapo alipo leo ili pia tuone dharau hizi za kuikunja shati serikali zimeanzia wapi. Tunaomba haki ionekane katika hili.
Huyu mosha alitakiwa kuoshwa kwanza na mahabusu wenzie na kuachiwa kwake kwa dhamana ingawa ni haki ila katika hili ni kuendelea kuwadhalilisha wale waliotendewa kadhia hiyo wakiwa katika utekelezaji wa majukumu yao..fikiria yule aliekunjwa na kuambiwa atachapwa vibao je familia yake inamtazamaje?? Watoto wake wanamtazamaje wanapojua kumbe baba anaweza kuchapwa vibao na tajiri mmoja asiekua na adabu je huku si kuwavunja nguvu watumishi hawa?? Mimi hapa naona jela ya jamaa inavyozidi kufanya kazi, naona walio na mamlaka ya kushughulikia hili wanavyotumia sheria vibaya kumlinda aliesema ataichapa vibao serikali. Kuidharau serikali ina maana umemdharau mpaka Rais wa jamhuri anaeiongoza kua serikali yake unaweza kuichapa vibao kwa pesa zako. Wenye mamlaka na kesi hii tumieni vizuri sheria kunyoosha watu wenye kiburi cha pesa kama daviiiiiiss moossssha...wanaozarau mamlaka ya vyombo vya ulinzi na usalama vilivyowekwa kikatiba. Lakini pia serikali ijiridhishe na mtu huyu alipataje utajiri huu tangu alipoanza maisha na vyanzo vyake vya pesa vijulikane vilijizaa vip mpaka kufikia hapo alipo leo ili pia tuone dharau hizi za kuikunja shati serikali zimeanzia wapi. Tunaomba haki ionekane katika hili.
Tukutane mahakamani haki ikatendeke..Ingekua vyema sana kama tungechangia mambo kama haya bila kutumia lugha za kuhukumu. Kuwa tajiri si kinyume cha sheria mkuu. Hapa unaonekana wazi kuwa na hasira na matajiri. Ugomvi kama huo unaweza kutokea bila mtu kuwa tajiri, mwanasiasa, Sheikh au Padre. Muhimu ni kuviachia vyombo husika vichambue professionally na kutoa maamuzi au usuluhishi sahihi.
Huyu mosha alitakiwa kuoshwa kwanza na mahabusu wenzie na kuachiwa kwake kwa dhamana ingawa ni haki ila katika hili ni kuendelea kuwadhalilisha wale waliotendewa kadhia hiyo wakiwa katika utekelezaji wa majukumu yao..fikiria yule aliekunjwa na kuambiwa atachapwa vibao je familia yake inamtazamaje?? Watoto wake wanamtazamaje wanapojua kumbe baba anaweza kuchapwa vibao na tajiri mmoja asiekua na adabu je huku si kuwavunja nguvu watumishi hawa?? Mimi hapa naona jela ya jamaa inavyozidi kufanya kazi, naona walio na mamlaka ya kushughulikia hili wanavyotumia sheria vibaya kumlinda aliesema ataichapa vibao serikali. Kuidharau serikali ina maana umemdharau mpaka Rais wa jamhuri anaeiongoza kua serikali yake unaweza kuichapa vibao kwa pesa zako. Wenye mamlaka na kesi hii tumieni vizuri sheria kunyoosha watu wenye kiburi cha pesa kama daviiiiiiss moossssha...wanaozarau mamlaka ya vyombo vya ulinzi na usalama vilivyowekwa kikatiba. Lakini pia serikali ijiridhishe na mtu huyu alipataje utajiri huu tangu alipoanza maisha na vyanzo vyake vya pesa vijulikane vilijizaa vip mpaka kufikia hapo alipo leo ili pia tuone dharau hizi za kuikunja shati serikali zimeanzia wapi. Tunaomba haki ionekane katika hili.
Umepata taarifa wapi kwamba hawakufuata taratibu na sheriaKumbuka kuna sheria na taratibu zake.
Una uhakika gani kama walifuata sheria na taratibu kwenda kwake. Hata kama ni askari huwezi kuja nyumbani kwangu au ofisini na kunikagua bila kufuata sheria ............!!
Kwani USISHAURI WACHUNGUZWE MASIKINI WOTE KWANI NI MASKINI? Utajiri ni gharama kwanini utajiri cku zote mnapenda kuuchunguzaHuyu mosha alitakiwa kuoshwa kwanza na mahabusu wenzie na kuachiwa kwake kwa dhamana ingawa ni haki ila katika hili ni kuendelea kuwadhalilisha wale waliotendewa kadhia hiyo wakiwa katika utekelezaji wa majukumu yao..fikiria yule aliekunjwa na kuambiwa atachapwa vibao je familia yake inamtazamaje?? Watoto wake wanamtazamaje wanapojua kumbe baba anaweza kuchapwa vibao na tajiri mmoja asiekua na adabu je huku si kuwavunja nguvu watumishi hawa?? Mimi hapa naona jela ya jamaa inavyozidi kufanya kazi, naona walio na mamlaka ya kushughulikia hili wanavyotumia sheria vibaya kumlinda aliesema ataichapa vibao serikali. Kuidharau serikali ina maana umemdharau mpaka Rais wa jamhuri anaeiongoza kua serikali yake unaweza kuichapa vibao kwa pesa zako. Wenye mamlaka na kesi hii tumieni vizuri sheria kunyoosha watu wenye kiburi cha pesa kama daviiiiiiss moossssha...wanaozarau mamlaka ya vyombo vya ulinzi na usalama vilivyowekwa kikatiba. Lakini pia serikali ijiridhishe na mtu huyu alipataje utajiri huu tangu alipoanza maisha na vyanzo vyake vya pesa vijulikane vilijizaa vip mpaka kufikia hapo alipo leo ili pia tuone dharau hizi za kuikunja shati serikali zimeanzia wapi. Tunaomba haki ionekane katika hili.
mawazo ya kimasikini... Dhamana ni haki ya kila mtu...Huyu mosha alitakiwa kuoshwa kwanza na mahabusu wenzie na kuachiwa kwake kwa dhamana ingawa ni haki ila katika hili ni kuendelea kuwadhalilisha wale waliotendewa kadhia hiyo wakiwa katika utekelezaji wa majukumu yao..fikiria yule aliekunjwa na kuambiwa atachapwa vibao je familia yake inamtazamaje?? Watoto wake wanamtazamaje wanapojua kumbe baba anaweza kuchapwa vibao na tajiri mmoja asiekua na adabu je huku si kuwavunja nguvu watumishi hawa?? Mimi hapa naona jela ya jamaa inavyozidi kufanya kazi, naona walio na mamlaka ya kushughulikia hili wanavyotumia sheria vibaya kumlinda aliesema ataichapa vibao serikali. Kuidharau serikali ina maana umemdharau mpaka Rais wa jamhuri anaeiongoza kua serikali yake unaweza kuichapa vibao kwa pesa zako. Wenye mamlaka na kesi hii tumieni vizuri sheria kunyoosha watu wenye kiburi cha pesa kama daviiiiiiss moossssha...wanaozarau mamlaka ya vyombo vya ulinzi na usalama vilivyowekwa kikatiba. Lakini pia serikali ijiridhishe na mtu huyu alipataje utajiri huu tangu alipoanza maisha na vyanzo vyake vya pesa vijulikane vilijizaa vip mpaka kufikia hapo alipo leo ili pia tuone dharau hizi za kuikunja shati serikali zimeanzia wapi. Tunaomba haki ionekane katika hili.
Unajua kua unamjibu baba ako wa kambo?mawazo ya kimasikini... Dhamana ni haki ya kila mtu...
Umekurupuka usingizini au?? Hiki ulichokiandika ni nn?? Acha kuwashwa washwaKwani USISHAURI WACHUNGUZWE MASIKINI WOTE KWANI NI MASKINI? Utajiri ni gharama kwanini utajiri cku zote mnapenda kuuchunguza
sawa Mke wanguUnajua kua unamjibu baba ako wa kambo?
Hivi kwann mtu anaewashwa washwa hajifichi?? Yan hapa nikitaka utulie hadi niwe kama nyoka pangoni...hahaaa mwaka huu kama hujanizalia sijuisawa Mke wangu
Senior Citizens tunashauri kuwa na subira na kufuata taratibu bila kuandika hasira ndani ya mtandao. Hata kama ni wewe ulishikwa shati ni nizuri ukarudi hatua moja nyuma ukajiuliza ni nini ulifanya kikamsababisha mtu mzima kufanya kitendo cha shule ya sekondari. Ushindi wa busara ni mzito kuliko wa makelele.Tukutane mahakamani haki ikatendeke..