Ni suala la muda tu: CCM itabaki kuwa ya wanawake

Habari zenu wakuu?

Kwa kauli za Rais Samia jana sikuzifurahia kabisa, kwani ni za kibaguzi.

Hazina tofaugi na kauli za kidini kama ile aliyoitoa Lowassa akiwa KKT Tabora 2015.

Katiba yetu ya JMT ibara ya 13(2), (4)(5)(6) na ibara ndogo (a) mpaka (e).
zinakataza mamlaka yoyote kuweka ubaguzi dhahiri au kwa taathira yake.
Chini ya sheria Na.4 ya 1992 ib.8 zikisomwa kwa pamoja na sheria Na.3 ib.3 ya 2000.

Sasa kwanini Katiba inavunjwa?

Nashaurinwashauri wa mama wampe maneno ya kusema.

Kuna watu hata ndani ya chama cha mapinduzi wanausaka Urais naona kawanyooshaView attachment 1940069View attachment 1940070
Aalaaah
 
Kwa sababu za ki historia, tuli wadharau sana mpaka kwenye vitabu vya dini, ila kama ana uwezo wa kuongoza basi sawa tu. Sisi wengine tutafanya kazi ngumu
kama ana uwezo afanye kazi watu waone, asilete story za kuomba apewe kura kwasababu ya jinsia yake ya kike.

story za jinsia yake ya kike ni kujidhalilisha tu,
afanye kazi, hili taifa lina wanaume na wanawake, hii sio nchi ya kike.
 
Huyu Mwamba sijui alikufaje watanzania ni kama tuko ndotoni. Itafikia siku kila ulimi utakiri tulipoteza kiongozi wa kweli na shujaa wa taifa.
FB_IMG_15917798721429365.jpeg
 
Habari zenu wakuu?

Kwa kauli za Rais Samia jana sikuzifurahia kabisa, kwani ni za kibaguzi.

Hazina tofaugi na kauli za kidini kama ile aliyoitoa Lowassa akiwa KKT Tabora 2015.

Katiba yetu ya JMT ibara ya 13(2), (4)(5)(6) na ibara ndogo (a) mpaka (e).
zinakataza mamlaka yoyote kuweka ubaguzi dhahiri au kwa taathira yake.
Chini ya sheria Na.4 ya 1992 ib.8 zikisomwa kwa pamoja na sheria Na.3 ib.3 ya 2000.

Sasa kwanini Katiba inavunjwa?

Nashaurinwashauri wa mama wampe maneno ya kusema.

Kuna watu hata ndani ya chama cha mapinduzi wanausaka Urais naona kawanyooshaView attachment 1940069View attachment 1940070

Mh Kikwete yupo na atakuwepo; sasa sijui ndo kusema ni dharau au ni vipi Bwana mdogo?
 
KILA KITU NI KUDRA ZA MUNGU. MH SAMIA HASSAN SULUHU TUNAOMBA USIJENGE UBAGUZI WA AINA YOYOTE. KWANZA SIO KWELI KWAMBA ULIFIKA HAPO KWA JUHUDI ZA WANAWAKE PEKEE. ULIBEBWA NA WANAUME KINA KIKWETE, KARUME , PINDA NK. WAO NI WENGI KWENYE VIKAO VIZITO VYA MAAMUZI. USIWABEZE LEO. WASHUKURU. BADO HUJAVUKA MTO. PILI SI KWELI KWAMBA WANAWAKE MNAPENDANA SANA. AGAIN USIBEZE NGUVU YA WANAUME. NI WENGI HATA MAJESHINI AMBAKO UMEWAWEKEA WAZIRI MWANAMKE PIA. HATUOMBEI WAONYESHE NGUVU YAO LAKINI USIWAAMBIE WAMEBEBWA SANA NA WANAWAKE. TATU, URAIS 2025 NI MBALI MNO. KWENYE SIASA WIKI MOJA INAWEZA KUWA MWAKA! CHA KUKUBEBA NI RECORD YAKO NZURI ITAKAVYOKUWA KIKAZI, UNYENYEKEVU NA UWEZO WA KUUNGANISHA TAIFA NA MAKUNDI YOTE .FANYA HIVYO MPAKA WAKATI HUO LAKINI KUMBUKA KUNA "KUDRA" ZA MUNGU PIA. NNE, VITABU VITAKATIFU QUORAN NA BIBLIA HAVIKUFAGILIA WANAWAKE KAMA VIONGOZI WAKUU AU AMIRI JESHI KWA HIYO NENDA KWA HEKIMA MTU ASIPATE HOJA YA "MNAWAONA TABIA ZAO" HATA KWA HISIA TU. MWISHO SIO WEWE PEKE YAKO UNAEUTAKA URAIS WAPO WA CHAMA CHAKO PIA WANAOENDELEA KUKU ANALYSE NA WA VYAMA VINGINE PIA. UKO NAFASI NZURI KIJIOGRAFIA LAKINI NENDA KWA BUSARA. WISH YOU THE BEST
 
Back
Top Bottom