Super copierWakuu tujuzane Software na Computer app nzuri kwa ajili ya laptop au computer yako
zangu hizi
1.Android studio
2.VLC
3.Kaspersky
4.Ms office 2019
5.Adobe
6........
Ongezea na zako..
blue stack kwangu inanigomea jamani, sijui tatizo nini, hata kuinstall tu imekataa. Nimejaribu kutumia youwave android lakini pia. Tazama picha hapa inavyosema9.foxit
10.bluestack
11.winrar
12.virtual box
inategemea na na wewe unataka kufanya nini na computer yako,ujue computer ina application nyingi mno! na mind you kwa mtumiaji mzuri wa computer anaweza kuitumia kwa kwa asilimia15 tu!, hivyo la muhimu ni wewe una lengo la kufanya kazi kazi gani na computer yakoWakuu tujuzane Software na Computer app nzuri kwa ajili ya laptop au computer yako
zangu hizi
1.Android studio
2.VLC
3.Kaspersky
4.Ms office 2019
5.Adobe
6........
Ongezea na zako..
Vitual AudioWakuu tujuzane Software na Computer app nzuri kwa ajili ya laptop au computer yako
zangu hizi
1.Android studio
2.VLC
3.Kaspersky
4.Ms office 2019
5.Adobe
6........
Ongezea na zako..
Kuiba software? Naskiaga iko ivoHivi Utorrent na bittorrent ina kazi gani kwenye PC!!!??