Ni Software ngani nzuri kuwa nazo kwenye Laptop au Computer yako.

Ultimate

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
713
1,736
Wakuu tujuzane Software na Computer app nzuri kwa ajili ya laptop au computer yako
zangu hizi
1.Android studio
2.VLC
3.Kaspersky
4.Ms office 2019
5.Adobe
6........
Ongezea na zako..
 
inatege3meana na matumizi ya mtu. pc yake anaitumia kufanya nini.

ila common ni
idm
vlc
uttorent au bittorrent
 
Bl
9.foxit
10.bluestack
11.winrar
12.virtual box
blue stack kwangu inanigomea jamani, sijui tatizo nini, hata kuinstall tu imekataa. Nimejaribu kutumia youwave android lakini pia. Tazama picha hapa inavyosema
youwave.PNG
 
Wakuu tujuzane Software na Computer app nzuri kwa ajili ya laptop au computer yako
zangu hizi
1.Android studio
2.VLC
3.Kaspersky
4.Ms office 2019
5.Adobe
6........
Ongezea na zako..
inategemea na na wewe unataka kufanya nini na computer yako,ujue computer ina application nyingi mno! na mind you kwa mtumiaji mzuri wa computer anaweza kuitumia kwa kwa asilimia15 tu!, hivyo la muhimu ni wewe una lengo la kufanya kazi kazi gani na computer yako
 
Wakuu tujuzane Software na Computer app nzuri kwa ajili ya laptop au computer yako
zangu hizi
1.Android studio
2.VLC
3.Kaspersky
4.Ms office 2019
5.Adobe
6........
Ongezea na zako..
Vitual Audio
Revo uninstaller
Teracopy
U Torrent
 
Back
Top Bottom