Ni software ipi inatumika kutengeneza banner kama hizi?

The Genius

JF-Expert Member
May 29, 2018
820
2,070
Wakuu salamu.

Naomba kuuliza ni software zipi zinatumika kutengeneza hizi banners kwenye picha.

Yaani picha inakuwa na maandishi pamoja na logo ya taasisi husika. Software zipi ndio hutumika?

Msaada tafadhali.

20210320_103644.jpg
20210320_103620.jpg
20210320_103535.jpg
 
Adobe Photoshop

Ila ni muhimu kuwa na Graphic Design skills ili kutoa kitu bora.
 
Adobe Photoshop ama Illustrator (Illustrator ndiyo nzuri zaidi) pia AfterEffects inaweza kutumika katika kuadd hiyo design kwenye video.
 
Adobe Photoshop + Illustrator

Affinity Designer

Gimp + Inkscape

In short software ya kuedit picha na software ya vector graphics design inafanya hvyo. Ni ujuzi wako tu mwenyew
 
Back
Top Bottom