Ni siri gani hujawahi kumueleza mtu yeyote?

Kwwhiyo hii bado ni siri?
Umenikumbusha kitu. Siku moja nikiwa namtokea mdada nikamwambia kama ana uwezo wa kutunza siri, nimwambie siri lakini kwa mashart ya kutosema kwa yeyote. Akanambia anaweza kutunza siri.
Nikamwambia siri gani umewahi kutunza? Akanieleza.
Nikajua kama hiyo aliita siri, na ameniambia, basi hata nitakayomwambia atasema kwa mwingine.
Siri ni ile ambayo mtu anayo na hajamwambia mtu yeyote. Au kikundi husika kimetunza bila kusema au kuonesha kwa mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom