Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,709
- 39,789
Perfomance Ni best in class mkuu, Ngumu kupata simu ya around laki 3 inayoizidi, na hata camera kiasi chake inajitahidi, pia inakaa Sana na chaji sababu inatumia manufacturing process za kisasa zisizotumia umeme mwingi.Mkuu Chief-Mkwawa naomba ushauri wako juu ya hii redmi note 7 kuanzia performance, camera, na chaji imekaaje ?
Mpinzani wake Ni realme 5 ambayo Ina kioo chenye resolution ndogo, perfomance sawa na battery kubwa zaidi.