Ni simu ipi kali kati ya hizi tatu na kwa sababu zipi?

Mkuu Chief-Mkwawa naomba ushauri wako juu ya hii redmi note 7 kuanzia performance, camera, na chaji imekaaje ?
Perfomance Ni best in class mkuu, Ngumu kupata simu ya around laki 3 inayoizidi, na hata camera kiasi chake inajitahidi, pia inakaa Sana na chaji sababu inatumia manufacturing process za kisasa zisizotumia umeme mwingi.

Mpinzani wake Ni realme 5 ambayo Ina kioo chenye resolution ndogo, perfomance sawa na battery kubwa zaidi.
 
Naifikiria hii redmi note 7 yenye 4 ram na 64gb nadhan ni best maana priority yangu perfomance na ukaaji wa chaji huko camera kama itakubali kumeza GCAM nadhan itakua poa zaidi
 
Naifikiria hii redmi note 7 yenye 4 ram na 64gb nadhan ni best maana priority yangu perfomance na ukaaji wa chaji huko camera kama itakubali kumeza GCAM nadhan itakua poa zaidi
Kwa SOC yake inakubali mkuu, Ila subiria na reviews za Realme 5 ndo zinatoka toka Sasa Hivi.
 
simu ovyo sana sana niliitumia siku 2 tu nikamzawadia bi mkubwa. uzuri wake ni kukaa na chaji muda mrefu vingine vyote ni 0,sitawaza kutumia mchina hata siku na moja
Mimi naona S4 imetulia kwangu 3GB Ram, 4000mAh.Infinix haijawahi niangusha ila nazidi kufanya uchunguzi
#Hot6
 
Hazichelewi kuelemewa unapoweka vitu,Kila unavyotumia ndivyo inavyozidi kupoteza ubora,camera ya ovyo iko saturated haina uhalisia unapopiga kitu na inapungua ubora kadri unavyozidi kuitumia,kuna mengi madhaifu na hata inafika mda tecno inaanza matatizo ya kustack kujizima na kuwaka unaweza kuta unapigiwa simu akafu ikachukua dk nzima kupokea.

Nishatumia Tecno nimeyaona hayo na hata watu wengi mtaani wanaonizunguka wanatumia hizo simu na mala nyingine wanakuja niwarekebishie kuhusu hayo matatizo.
Hiyo tecno uliyokuwa unaitumia bei yake sh ngapi? Km ni laki mbili utakuwa hauko serious
 
Back
Top Bottom