S4 ni noma nimeziona zote ninenulia watu juz kati but m S4 ipo level nyingine...A10 imenikera haina Flash light ya mbele inatumia mwanga wa kioo kama vile Iphone na pia ina 2gb ram na S4 ni 3Gb ram na front camera ni 32 gb na nuuma ni camera 3...Tecno sikushauri..!1. INFINIX HOT S4
2. SAMSUNG GALAXY A10
3. TECNO POUVOIR 2 PRO
1. INFINIX HOT S4
2. SAMSUNG GALAXY A10
3. TECNO POUVOIR 2 PRO
duh kweli mkuu s6 laki300000 mpya au mtumbaNunua samsung galaxy s6 kwa 300000k tu achana na izo. 32gb memory camera bomba 3gb ram. Nipigie 0716119347View attachment 1153926View attachment 1153927
1. INFINIX HOT S4
2. SAMSUNG GALAXY A10
3. TECNO POUVOIR 2 PRO
Brand new au used?Nunua samsung galaxy s6 kwa 300000k tu achana na izo. 32gb memory camera bomba 3gb ram. Nipigie 0716119347View attachment 1153926View attachment 1153927
Masaa mangapi approximately kama data ikiwa on?
View attachment 1153930
Yaani hapo Samsung A10 kawapita hao Wengine Kwenye Processor mbali sana.
Ila sijajua unaangalia nini matumizi yako mkuu.
We go Hawaii hilo mkuu mi pia
1. INFINIX HOT S4
2. SAMSUNG GALAXY A10
3. TECNO POUVOIR 2 PRO
Hzo band unaangalia wap kwenye cm au ukisoma Gsm arena specification basiperformance
Performance wise sidhani Kama Kuna simu ya low end inayoipita A10 Samsung. Na sababu kubwa ni uwepo wa core mbili za Cortex A73, kwa daily activities itaperform vizuri zaidi kushinda hio Tecno na Infinix.
According to Gsmarena hio Tecno Ina Cortex A7 ambayo itakuwa slow Sana, 2019 kununua simu ya cortex A7 ni kujitia Kitanzi.
Hot s4 processor yake ni ok, Haina nguvu Kama A10 ila itafanya task nyingi bila matatizo.
4G LTE
Tecno Ina band 3(1800), 7(2600), 20(800)
Infix band zake 1(2100), 3(1800), 5(850), 8(900), 38(2600), 40(2300), 41(2500)
A10 band zake 1(2100), 2(1900), 3(1800), 5(850), 7(2600), 8(900), 20(800), 38(2600), 40(2300), 41(2500)
ukiangalia Hapo A10 Ina bands nyingi zaidi za 4G, na kwa Tanzania tunatumia 800, 1800 na 2300, ni A10 peke yake ndio inazo zote,
Tecno haina 2300 utamiss TTCL speed kubwa, ila utapata TTCL ya kawaida ya 1800
Infinix Haina 800 utamiss coverage kubwa ya 4G ya Tigo ila utapata 4G ya Tigo ya 1800 mijini.
ukaaji chaji
Hio tecno itakaa na chaji zaidi sababu ya uwepo wa cortex A7 na battery kubwa la 5000mah, Infinix na hio Samsung ni karibia zinalingana.
display
Zote ni Vimeo kwenye display Zina mavioo makubwa Sana around inch 6 wakati resolution ni Ndogo ya HD.
camera
Pia hapa hakuna Cha kuandika, ukiona simu Zina megapixel nyingiii kwa Bei Ndogo ujue hakuna kitu wanataka tu kudanganya watu wasiofahamu wanunue. Tegemea kuwekea beauty mode by default na blured pictures.
Kama ni Mimi nafanya hio decision ningenunua A10 Samsung na Bei ni around 250,000 mpaka 300,000 zaidi ya Hapo Kuna option nzuri zaidi.
Nimeangalia Gsmarena Sasa hivi, ila unaweza pia kuangalia kwenye simu kupitia ussd code ama unadownload app Kama LTE discovery.Hzo band unaangalia wap kwenye cm au ukisoma Gsm arena specification basi
Nimetizama tu bettry nikajua unatumia mnyama Xiaomi boss wanguView attachment 1153930
Yaani hapo Samsung A10 kawapita hao Wengine Kwenye Processor mbali sana.
Ila sijajua unaangalia nini matumizi yako mkuu.