angalia used,uikague kwa utulivu hutajuta.
ila ukijifanya hutumiagi za mkononi jiandae kulamba boko la 1gb ram.
Huu ni ukweli aisee. Kwa bei hyo mpya atakula 1GB RAM tu na processor ya kiboya. Simu itanasa mpaka atajutaangalia used,uikague kwa utulivu hutajuta.
ila ukijifanya hutumiagi za mkononi jiandae kulamba boko la 1gb ram.
Zipo mitaani na bei ndefu, na ni kopo ambalo huwezi hata kuweka apps, unless unataka tu simu ya kupiga na kupokea. Around 150k bei kkooWakuu, mi natafuta express music iliyotoka 2020
Aksante kwa ushauriUkitaka simu ya nzuri kabisa kwa bei hiyo ni bora ungalie used phones.
Simu mpya kwa bei hiyo utapata tecno na infinix za ajabu
Kwa hela hyo used unapata Tecno Camon X, Infinix Note 5, iPhone 5s au 6(ukibahatisha), Infinix Hot 8, Samsung J6, Samsung A10.
Hzo ndo zilizokuja kwenye akili yangu haraka haraka. Ingia kupatana alaf sort kwa bei uingize bei yako then utaona.
Mm natumiaga Kupatana na Jiji.
CHIEF mimi ni yule mdau wa ile thread ya wapi ntapata graphic card gani nzuri kwa pc mkuu nimetafuta sana gpu ila nimepata madyka mengi ni waswwhili tu nimeamua kuchukua gaming laptop hp pavilion gaming15 ina core !7 7700hq na ram 8gbddr4 na tb 1 sata,125ssd ,Nokia C2, japo sijajua upatikanaji wake upo vipi. Hata kama unakosa hio angalia simu yenye
1. Android Go na sio version ya kawaida ya Android, Go ipo optimised kwa ram 1gb kushuka.
2. Angalau processor ya Cortex A53, kuna simu nyingi za Cortex A7 kwenye hii category.
1050ti iko poa sana kwa laptopCHIEF mimi ni yule mdau wa ile thread ya wapi ntapata graphic card gani nzuri kwa pc mkuu nimetafuta sana gpu ila nimepata madyka mengi ni waswwhili tu nimeamua kuchukua gaming laptop hp pavilion gaming15 ina core !7 7700hq na ram 8gbddr4 na tb 1 sata,125ssd ,
Ila gpu ni nvidea gtx 1050ti mkuu unasemaje
Sio mbaya ila kama utapata i5 gen ya 8 kama 8400HQ ni nzuri zaidi kuliko i7 gen ya 7, kama unakosa hata hio i7 sio mbaya. Hio machine itacheza games zote ambazo zipo sokoni kwa sasa.CHIEF mimi ni yule mdau wa ile thread ya wapi ntapata graphic card gani nzuri kwa pc mkuu nimetafuta sana gpu ila nimepata madyka mengi ni waswwhili tu nimeamua kuchukua gaming laptop hp pavilion gaming15 ina core !7 7700hq na ram 8gbddr4 na tb 1 sata,125ssd ,
Ila gpu ni nvidea gtx 1050ti mkuu unasemaje
mkuu pc hiyo inaweza patikana kwa bei gan?Sio mbaya ila kama utapata i5 gen ya 8 kama 8400HQ ni nzuri zaidi kuliko i7 gen ya 7, kama unakosa hata hio i7 sio mbaya. Hio machine itacheza games zote ambazo zipo sokoni kwa sasa.
Hapo unapata tecno pop 2f . Ukishuka zaidi mpaka F1
1.5m angalau kwa mpya, tena hapa uvizie deals mbalimbali, kwa used chini ya hapo.mkuu pc hiyo inaweza patikana kwa bei gan?
Ivi mkuu ryzen gpu zake zinaweza patkana kweli bongo zenye uwezo mkubwa kuliko iyo mashine1.5m angalau kwa mpya, tena hapa uvizie deals mbalimbali, kwa used chini ya hapo.
kama budget ndogo tafuta ryzen zina gpu nzuri kwenye laptop
Ryzen gpu ya ndani haifikii hio 1050ti ndio maana nikarecomend kwa budget ndogo.Ivi mkuu ryzen gpu zake zinaweza patkana kweli bongo zenye uwezo mkubwa kuliko iyo mashine
Afu pia mi nimenunua kwa 1.8m napenda kujua kwa nini cpu za ryzen hua zina heat sana kwenye mashine naona hata madukani hawarecomend otherwise user proposal
Jibu zuri...Ukitaka simu ya nzuri kabisa kwa bei hiyo ni bora ungalie used phones.
Simu mpya kwa bei hiyo utapata tecno na infinix za ajabu
Kwa hela hyo used unapata Tecno Camon X, Infinix Note 5, iPhone 5s au 6(ukibahatisha), Infinix Hot 8, Samsung J6, Samsung A10.
Hzo ndo zilizokuja kwenye akili yangu haraka haraka. Ingia kupatana alaf sort kwa bei uingize bei yako then utaona.
Mm natumiaga Kupatana na Jiji.