Ni siku njema kwa mh. Mbowe na mke wa Riz1

President Elect

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
690
Points
195

President Elect

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
690 195
Leo ni siku njema sana kwa Riz1, mke wake kipenzi anasherehekea my Happy Birthday yake!

Mh. Aikaeli Mbowe, mwenyekiti wa CHADEMA, naye pia anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Happy birthday to you, Mh. Mbowe & Mrs. Ridhiwani Jakaya Kikwete! Makofi na vigelegele tafadhali.

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
5,344
Points
2,000

only83

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
5,344 2,000
Leo ni siku njema sana kwa Riz1, mke wake kipenzi anasherehekea my Happy Birthday yake!

Mh. Aikaeli Mbowe, mwenyekiti wa CHADEMA, naye pia anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Happy birthday to you, Mh. Mbowe & Mrs. Ridhiwani Jakaya Kikwete! Makofi na vigelegele tafadhali.
Najutia muda wangu niliopoteza kusoma thread hii....

Eng. Y. Bihagaze

Verified Member
Joined
Sep 8, 2011
Messages
1,481
Points
1,225

Eng. Y. Bihagaze

Verified Member
Joined Sep 8, 2011
1,481 1,225
mmmh napta ntarudi mda kidogo tuparty
AITHEE.. HIYO AVATAR YAKO MKUU MSOFFE.. DO IMETULIA.. UNGEIPOST TUKAIMENGENYUA HUMU LINGEKUWA LA MBOLEA... labda Mkubwa nikuulize swali.. unadhani TZ ikipigwa bei dau litakuwa sh ngapi, na kila mkazi atamegewa kiasi gani.. eeh jamani.. tujadilini, kwani kujadili ndoto kuna ubaya gani! NDOTO YAWEZA KUWA TRUE watu wakajaa mifukoni wakatimkia wanakojua.. kuliko kujadili threads za mawengemawenge.. besidei za watu... shit!!

Wambandwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2006
Messages
2,254
Points
1,500

Wambandwa

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2006
2,254 1,500
Leo ni siku njema sana kwa Riz1, mke wake kipenzi anasherehekea my Happy Birthday yake!

Mh. Aikaeli Mbowe, mwenyekiti wa CHADEMA, naye pia anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Happy birthday to you, Mh. Mbowe & Mrs. Ridhiwani Jakaya Kikwete! Makofi na vigelegele tafadhali.

President elect, don't contrast my Party's Chairman with your Ritz1 wife, she's officially married anyway but Ritz1 has got his zip down most of the time.

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
3,820
Points
0

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
3,820 0
AITHEE.. HIYO AVATAR YAKO MKUU MSOFFE.. DO IMETULIA.. UNGEIPOST TUKAIMENGENYUA HUMU LINGEKUWA LA MBOLEA... labda Mkubwa nikuulize swali.. unadhani TZ ikipigwa bei dau litakuwa sh ngapi, na kila mkazi atamegewa kiasi gani.. eeh jamani.. tujadilini, kwani kujadili ndoto kuna ubaya gani! NDOTO YAWEZA KUWA TRUE watu wakajaa mifukoni wakatimkia wanakojua.. kuliko kujadili threads za mawengemawenge.. besidei za watu... shit!!
Mbona Tanzania tayari inamegwa na kupigwa bei kila uchao, tena kwa bei ya chee!

Filipo

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
9,339
Points
1,500

Filipo

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
9,339 1,500
Kimsingi, umefanya kosa kubwa kuchanganya hawa watu pa1. Ingawa wana share birth day, hawafanani socially, economicaly, politically, idologicaly, dignity and the list goes on! Totaly different persons!

Forum statistics

Threads 1,379,046
Members 525,299
Posts 33,733,200
Top