ni siku Ngapi wanaafunzi wa sekondari wanatakiwa kuwa shule!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ni siku Ngapi wanaafunzi wa sekondari wanatakiwa kuwa shule!?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zamaulid, Apr 23, 2010.

 1. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,363
  Likes Received: 6,701
  Trophy Points: 280
  wakuu salaam!
  ninawaandikia kutaka kujua lakini pia kuonyesha wasiwasi wangu juu ya uendeshaji wa baadhi ya shule za private!!kijana yetu mmoja anasoma shule ya ujenzi iliyoko mkuranga!mwanzoni mwa mwaka ilifunguliwa tarehe 7/01. walifunga shule kwa ajiri ya sikukuu tarehe 2/4 na kufungua 19/4!nilimtuma mdogo wangu ampeleke kijana shule,niliporudi toka safari yangu nilipata maendeleo ya kijana na kalenda ya shule wakinitaarifu kumchukua kijana tarehe 26/5!!wasiwasi wangu ni kuwa wanafunzi wanatumia muda mchache shuleni kuliko ambao wizara inaelekeza!kumbukumbu yangu wakati Mungai anafuta michezo mashuleni (waraka haujulikani namba ngapi) alisema wanafunzi wanapoteza muda mwingi kwenye michezo na matokeo yake hawakai shule kwa siku 192 wanazotakiwa kuwa darasani!!!kwa staili hii ya ujenzi kweli wanafunzi watakaa hizo siku elekezi za wizara?kama mwana taaluma ya ualimu kweli sylabus itakuwa imeisha katika siku hizi chache watoto wanapokuwa shuleni?

  wakuu huenda mimi sifahamu wanafunzi wanatakiwa kukaa siku ngapi darasani, mwenyekujua aniambie ili nifuatilie issue hii kwa data kamili!!
  natanguliza shukurani!!
   
Loading...