mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,760
- 35,205
Tunaendelea kumshukuru Mungu kwaajili ya zawadi ya uhai wako John Pombe Joseph kwa taifa letu.
Tunashukuru kwa kutuachia serikali makini na imara chini ya aliyekua msaidizi wako na rais wetu kipenzi Mama yetu Samia Suluhu Hassan.
Kama alivyokuahidi ukiwa hai kwamba upumzike maana yeye alishakuelewa na kunyooka na anaweza kunyoosha wengine, anatunyoosha kwelikweli. Moto wa kutumbua majipu bado mama anauendeleza kwa kazi kubwa sana.
Endelea kupumzika kwa amani Mwamba, mbeba maono, mwenye uthubutu, Mtekelezaji na Mzalendo.
Raha ya milele umpe ee Bwana, na mwanga wa milele umuangazie, apumzike kwa amani Amina💔🕊🙏
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote 😍🇹🇿🔥🔥