Ni siku 21 leo, endelea kulala salama kipenzi chetu Rais John Pombe Joseph Magufuli

Udhalimu upi?
Kwasababu kwa akili zako kila alichofanya JPM ni kibaya kaa usubirie hapohapo

Hii ndio CCM chama kubwa haina kufeli

Nasema hivi ule utawala wa kidhalimu. Kama ni miundombinu, hata Kaburu Pieter Botha wa Afrika kusini alifanya. Je alisifiwa kuwa alifanya mambo mazuri? Baki unajibaraguza kwa kuitaja ccm ili kujifariji. Hapa hamna mtu anaisifia ccm wala nini, bali tunafurahia utawala wa dhalimu kufutwa rasmi.
 
Mmmhhh leo sio siku ya 20? Au Siku 21 kuanzia Tar 17? Haraka ya nini? Si tulikubaliana mitano tena?


18,19,20,21,22,23,24 - Week 01
25,26,27,28,29,30,31 - Week 02
01,02,03,04,05,06,07 - Week 03
Tatizo la kihesabu tu,anzia tarehe 17 kuhesabu siku ya kwanza.
 
Issue ya kimara iko kisiasa sana, na kutokuwajibika kwa viongozi waliokua madarakani..... mwenyewe nina watu wangu wa karibu waliothirika pia sana

Kunaweza kuwa na makosa lakini pia Kuna waliokua wakijua wakauza walionunua wakawa waathirika..... kosa kubwa lilikua kwa uongozi uliotangulia kuendelea kuuza na kuruhusu watu kuuziana na kujenga eneo la barabara
Uongozi uliopita ambao na yeye alikuwemo
 
Maombolezo bado yapo kwani?!
Maisha yanaendelea mbona
Tusome kitabu cha Kumbukumbu ktk Biblia Takatifu
.....Shahidi wa Mambo Yako Ni Wewe Mwenyewe, Utakapoisikiliza sauti Yako......
 
Wanyonge wanamshukuru na kumuombea dua kila siku kwa

Serikali imara iliyozuia mgambo wahuni kuwamwagia mitaji yao
Reli zinatumika na wanyonge zaidi
Barabara na madaraja vimejengwa
Shule na mahospitali vimejengwa na kuboreshwa
Elimu bure
Makanisa na misikiti vimejengwa na kuboreshwa
Ametengeneza viongozi imara na wazalendo
Kiukweli kwenye korosho walibugi

Ova
 
15 tena kwa jembe letu,zile ndege alipaswa kwenda nazo ahera zinatupa faida kubwa sana mpka mabeberu wanatuonea wivu
 
Back
Top Bottom