Ni shule gani ya sekondari O Level ina na football academy ndani yake?

Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,658
3,646
Habari za Jumapili.
Msaada jamani.
Natafuta shule ya O Level ambayo ni football academy.
Naomba mnitajie majina.
Asante.
 
We uliza majina ya shule....ila uliza na ada zao bei ngap ?? HeHe

Watu hela wanazo choma ada za watoto kwa mwaka utafurahi na roho yako...Hehe. Hela zipo tunatifautiana upepo tu.
 
Habari za Jumapili.
Msaada jamani.
Natafuta shule ya O Level ambayo ni football academy.
Naomba mnitajie majina.
Asante.
Black Rhino
DJI_0075.jpg
DJI_0079.jpg


Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom