Ni shida,hakunaga ugonjwa wa afadhari.

samsun

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
7,386
5,954
Hi guys.

Ni shida,hakunaga ugonjwa wa afadhari hata mara moja,ukiumwa jino utasema bora kuharisha, sasa siku ukiharisha kiasi cha wenzako wamelala wewe usiku wako unamalizia chooni utasema bora jino. Mimi naona hakunaga ugonjwa wa afadhari nyinyi munaonaje wenzangu ???

Hebu tuleteeni shuhuda za ugonjwa uliougua ukaona huo ni afadhari.
 
Back
Top Bottom