Ni sheria ipi inayoondoa kodi zote kwenye miradi ya nishati mbadala?

MwanaHaki

R I P
Oct 17, 2006
2,401
707
Wana-JF

Nakumbuka, miaka ya nyuma, Serikali iliondoa kila aina ya kodi kwenye miradi ya nishati mbadala, ili kuhamasisha uwekezaji kwenye sekta hiyo. Hili lilitokea baada ya uhaba mkubwa wa nishati ya umeme, uliotokana na kuharibika kwa mitambo na pia ukame.

Je, kuna mtu yeyote ambaye anaweza kunitafutia muswada wa sheria hiyo?

Asanteni.
 
Back
Top Bottom