Ni serikali yeye baraza LA mawziri au serikali ya MTU moja??

RUV ACTVIST.

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
472
111
Nauliza tu baraza LA mawaziri limebariki hizi kauli za mkuu wa Maya.....??
Kweli tz hakuna njaa?? Au ni serikali ya MTU mmkja tumsikie yeye??
 
Yeye ndiye Dc, Rc, Mbunge, Diwani, Waziri, Balozi, Msemaji wa Kambi ya Upinzani, Spika, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu.

Yaani kakosa nguvu tu ya kuamuru mvua inyeshe au isinyeshe.
 
Back
Top Bottom