Ni serikali ya awamu ya ngapi imeongoza kuvunja haki za raia wa Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni serikali ya awamu ya ngapi imeongoza kuvunja haki za raia wa Tanzania?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Alexism, Nov 12, 2011.

 1. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Dunia nzima katika karne hii haki za binadam na Demokrasia ni utamaduni ambao haupingwi bali kusisitizwa hili kuleta amani na maendeleo.
  Haki za binadam na Demokrasia katika jamii vinasimamia zaidi na serikali na kupitia sheria na kanuni ambazo pia kila mwanajamii anahusika moja kwa moja,asasi za kiraia,vyombo vya usalama n.k
  Tanzania kama zilivyo nchi nyingine ni mojawapo ya mataifa yaliyotia saini kwenye mikata mbali mbali ya kimataifa,kibara na kikanda lakini pia ni taifa mojawapo linalokabiliwa na tatizo la uvunjifu wa haki za binadam.
  Je ni serikali ya awamu hipi unadhani imeongoza katika kufunja na kutoheshim haki za binadam?
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Ya Mwinyi na ya Kikwete
   
Loading...