Ni sentensi ipi sahihi kati ya hizi mbili na kwa nini

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
10,327
6,849
Ipi ni sahihi kati ya hizi mbili?

1. Inkoskaz and Makanyaga are nobodies' fools

2. Inkoskaz and Makanyaga are nobody's fools
 
Ya pili ndo sahihi... Ya kwanza inatumika kama "common mistakes in English"

Tongs;
You mean ya pili ni sahihi kwenye common mistakes, right?. By the way, sugar tongs unazifahamu? Ulishawahi kuzitumia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom