Ni sehemu gani ya mwili wako unaipenda sana?

super mimi

JF-Expert Member
Oct 21, 2016
223
171
Hey wadau,

Bila kupoteza wakati. Twende jamvini moja kwa moja enhe tuelezane wadau.

Katika mwili wako najua kuna sehemu ambayo inakupa confidence na kukufanya. Uipende zaidi, mimi binafsi navutiwa na kichwa changu maana kimebeba ubongo ambao unaniwezesha nifanye maamuzi sahihi wewe je?

Karibuni wadau tujuzane
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom