Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Wakuu tuje kila mtu na Tafiti zake ili tupate mwanga na kumsaidia ambaye anaweza akahitaji kufanya biashara ya boda boda.
Ni Mkoa gani, Wilaya, Kata, Kijiji au sehem gani mtu unaweza ukawekeza kwa biasahra ya pikipiki ya Mkataba na ukapata pesa zako bila wasiwasi na usiwe na hofu ya kuibiwa pikipiki kwa uzoefu kila mtu pale alipoishi na ana experience na ameshuhudia.
Ni sh. ngapi kwa Pikipiki ya mkataba inawasilishwa kila siku au kwa mwezi bila usumbufu na bila ya kutumika ujanja ujanja?