ni sehem gani ya mwili inakua active unapoamka?na kwa nn??

Ubongo. Naanza kufikiria hata kabla sijafungua macho.
Halafu nakaa kitandani kama dakika 20 hivi nikitafakari
then mwili wote kwa pamoja unachangamka

Anamaanisha kuna sehemu katika mwili ukishtuka toka ucngizin tu unaikuta ipo active bila wewe kuisababisha iwe hivyo.
 
Wanaume wameshasema sehemu inayokua active akiamka, wanawake mbona hamsemi? Fungukeni basi, alaa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom