Ni sawa! Shake well b4 use?

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,178
1,195
Habari JF
Siku za hv karibuni nimekuwa active member wa vikao vya harusi. Si unajua tena unapokuwa na vijana wa miaka 20 na kuendelea kuwekeza kwenye hii saccoss ni muhimu! Haya bana ndo hivyo!
Kilichonishangaza humu ni kila maarusi takribani 5 hv kwa mwaka huu woooooooote walikuwa tayari wako 3. Yaani Baba, Mama na Kichanga chao. Nilipodadisi nikaambiwa siku hizi ni SHAKE WELL BEFORE USE. Ikabidi nianze kutafuta maana halisi maana ningeuliza palepale wangeniona huyu wa LONG TIME nini! Kumbe jamaa siku hizi wanaangalia kaa mamsap anaouwezo wa kuijaza dunia. Je ni sawa hivyo?
 
Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,178
1,195
Jamaa wananambia kwenye PM niseme taratibu eti watu wasisikie.
Wananambia hii ni aina ya uchakachuaji.................du poleni dada zangu ambao nyumba ya mtoto imekaa mbali!
 
afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,154
2,000
mmmhh hiii mpya hata kwangu ndo na sikia leo...
siku nyingine itabidi uwaulize tu ..
kwani ni borea kujua mapema kuliko kutokujua kabisa...
 
Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,178
1,195
Si kweli mkuu kuna vingine ni shake well after use.........
Hiyo si ilikuwa tangu zamani. Wazee wanaenda kukuposea huruhusiwi kumjongea mtarajiwa! Siku ya harusi shangazi mtu akiona kile kudoa chekundu anafurahia bi harusi kuumizwa! Alafu hawa mashangazi mi wananiboa ka nini yaani wao wanajifanya ndo walomlea zaidi kuliko mama mzazi!
PM hawa wa sasa wanatumia kwanza ndo wanaoa na lazima waone mtu huy wa tatu kabla hawajasimama mdhabahuni!
 
WiseLady

JF-Expert Member
Jan 22, 2010
3,276
2,000
Kazi ipo wadada!kweli siku hizi harusi nyingi bi harusi wanakuwa na kachanga tumboni,,, wengine harusi ikiisha honeymoon ni leba!!!!
 
WiseLady

JF-Expert Member
Jan 22, 2010
3,276
2,000
Kwani ni wewe! Tatizo waoaji wenyewe ndo hivyo wanataka kuhakikisha kilichomo humo. Unaweza kuta ilishaenda kwao siku nyingi!

Mangi, kinachotakiwa ni sisi wadada kuwa na msimamo,,kama mtu ataacha kuoa kisa hujakubali kuwa shaked b4,,,,afike salama.
 
Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,178
1,195
Mangi, kinachotakiwa ni sisi wadada kuwa na msimamo,,kama mtu ataacha kuoa kisa hujakubali kuwa shaked b4,,,,afike salama.

Yaani we utaona wanakupita kama daladala la bunju kwa huo msimamo. Ukijalegeza masharti saa kumi jioni.
 
Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,178
1,195
Preta Mungu apishilie mbali,,naichukia sana pia!mtazamo wangu makanisa nayo yanahitaji kuwa strict ktk hilo

Hahaa yaaaaaaaaani unamkabidhi faza achunguze ka hii shaked ana not shaked sio. Duuu sifa utakazomwagiwa na Rev siku hiyo we acha tu!
 
WiseLady

JF-Expert Member
Jan 22, 2010
3,276
2,000
Yaani we utaona wanakupita kama daladala la bunju kwa huo msimamo. Ukijalegeza masharti saa kumi jioni.

hahahaha!!!atanipita saa ngapi na saa hiyo anavyopropose hivyo ni last minute kashatua mabegi,,,itabidi avumilie maana kugeuka nyuma hataweza,,lol
 
WiseLady

JF-Expert Member
Jan 22, 2010
3,276
2,000
Hahaa yaaaaaaaaani unamkabidhi faza achunguze ka hii shaked ana not shaked sio. Duuu sifa utakazomwagiwa na Rev siku hiyo we acha tu!

Kuna makanisa wako vry strict ukienda kuandikisha harusi,,unapewa Rev muende hosp kufanya check up ya HIV/AIDS na pregancy.
 
Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,178
1,195
hahahaha!!!atanipita saa ngapi na saa hiyo anavyopropose hivyo ni last minute kashatua mabegi,,,itabidi avumilie maana kugeuka nyuma hataweza,,lol

We huwajui vijana wa cku hizi. Hawana adabu! Usishangae anabeba mpaka la kwako anaenda uza mbele kwa mbele. Zamani tulikuwa na haya kidogo. Yaani unakuta siku hizi mko chuo kidume kinadunga hata 10 na mnajuana na haoni tabu!
Hapo unabakia kukimbilia JF na bandiko NATAKA MTU WA KUZAA NAYE MTOTO NITALEA MWENYEWE! Kubali masharti haya SHAKE WELL............
 
WiseLady

JF-Expert Member
Jan 22, 2010
3,276
2,000
We huwajui vijana wa cku hizi. Hawana adabu! Usishangae anabeba mpaka la kwako anaenda uza mbele kwa mbele. Zamani tulikuwa na haya kidogo. Yaani unakuta siku hizi mko chuo kidume kinadunga hata 10 na mnajuana na haoni tabu!
Hapo unabakia kukimbilia JF na bandiko NATAKA MTU WA KUZAA NAYE MTOTO NITALEA MWENYEWE! Kubali masharti haya SHAKE WELL............

hahahaha!kazi ipo wacha niende utawa mie!
Kushake kupo lkn mpaka mtoke na ushahidi kanisani jamani!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom