Ni sawa na kwenda Mpirani... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni sawa na kwenda Mpirani...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzee Mwanakijiji, Jul 31, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jul 31, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  [h=6]Fikiria:

  Ni sawasawa na kwenda mpirani halafu refa anakataza chenga zisipigwe, mashabiki wasishangilie, furaha isioneshwe na magoli yasifungwe. Na yakifungwa, mfungaji asishangilie kwa mbwembwe! Yaani, watu wanapiga mpira tu, bila kugusana, kupigana ngwala, kuchomekeana n.k Sijui nani atalipa kwenda kuangalia!
  [/h]
   
 2. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Labda refa anaogopa kwa vile timu moja ni dhaifu sasa akiruhusu hayo yote anaona timu moja itazidiwa tu! Ingekuwa ni hivyo haina haja ya kulipa kwenda kuangalia!
   
 3. Companero

  Companero Platinum Member

  #3
  Jul 31, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Huwezi kufunga au kujaribu kufunga magoli ya kisigino kama Balotelli wakuachie tu - wanasema you are bringing the game into disrepute!
   
 4. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  mafumbo ya namna hii huwa yanamlenga mwanamama mkuu wa mjengoni
   
 5. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2011
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hata sheria za ngumi zinakataza kumchezesha -heavy weight na paper weight na refa alijua wazi
   
 6. Companero

  Companero Platinum Member

  #6
  Jul 31, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  kama yanamlenga mbona yanatolewa katika muktadha wa mjengo kushikiliwa na naibu na mwenyeketi wakati mwanamamama yuko ughaibuni?
   
 7. Companero

  Companero Platinum Member

  #7
  Jul 31, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  hivi hata kwenye mechi si huwa makocha wanatoa maombi maalumu ya kuwalinda wachezaji wenye chenga za maudhi kama messi na neymar?
   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,138
  Trophy Points: 280
  "kufungwa twafungwa lakini chenga twawala"
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  ni hapo siku washangiliaji watakapoamua kutupa chupa za maji uwanjani, refa atabana ngenge!
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hahaha km kuna mlokole flani alikuwa anakuja mitaa ya home pale iringa kutuhubiria neno la bwana, mida yake ilikuwa jioni wakati sie jioni tunakwenda uwanjani kulisakata boli, ili kutuvutia tubaki tusikilize mahubiri alikuwa anatuambia eti kucheza mpira ni dhambi sababu unapompiga chenga mwenzio UNAMDANGANYA eti badala ya kupita kulia wewe unapita kushoto hahahahahaha!!! SOCCER THE GAME WE LOVE!! the Beatiful game!!
   
 11. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,292
  Trophy Points: 280
  Utamu wa mechi ni pale timu pinzani zinapojuana mbinu zake, na unazidi pale refa anapokuwa hayuko fair na mechi haikatizwi.... naifananisha mechi hii na ile ya Kameruni ya kina Roger Milla iliyoitoa kamasi Uingereza... na bila kusahau uingereza ilikuwa na wachezaji 13 kiwanjani!!!
   
Loading...