Ni sawa mtoto aliyezaliwa Tanzania na Wazazi watanzania kutokujua Kiswahili

Mzungu ujinga huo ndio hautaki kabisa,, na wazazi wa ivyo waombee wazid kudumu na izo mali bila kufirisikia njiani. Maana ni malezi mabov sana ayo
Malezi mazuri ni yapi?

Kama hujaandika kwa kutumia chuki za kipato basi utaweza kujibu swali langu lasivyo hutoweza kujibu hilo swali.
 
Kiingereza bila maarifa ni sawa na kizalamo tu tena bora kizalamu

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Mimi ni mzaramo na najua na kusema kizaramo siyo useless kama ni useless basi lugha za kikabila zote ni useless vilevile
na pia hakiandikwi kizalamu wala kizalamo ni "Kizaramo"..

Kuna shida gani ya kujua English mkuu ikiwa ni lugha ya pili ya taifa?
Kujua lugha yoyote bila maarifa ni useless vilevile sio kiingereza tu.

Mkuu una chuki binafsi na naweza kuprove hilo.
 
Habari zenu wakuu,

Siku hizi katika jamii yenu Kuna Jambo limeshamiri Sana. Watoto wanaosona hizi shule za English medium shuleni mtoto anaongea English na Wazazi wakiwa wanaelimu wanajua English Basi nyumbani Kiswahili hakizungumzwi nao watamuongelesha mtoto English.

Utakuta kwenye familia Wazazi Baba na Mama wote watanzania, kiswahili wanakiongea vizuri sana Ila wanakwambia Watoto wao hawajui Kiswahili wanaongea English tu, Tena Wazazi wanaona Kama ni Jambo la kujivunia.

Ni vizuri mtoto kujua English Kama Second Language. Lakini Hilo la kutokujua Lugha Mama ambayo anazaliwa anaikuta katika hiyo nchi aliyozaliwa na Wazazi wake wote wanaizungumza limekaaje?

Maana baada ya shule, mtoto atarudi mtaani changanyikeni ambako hicho kiingereza hakina nafasi sana labda Kama Wazazi wamepanga future ya mtoto iwe nchi zinazozungumza kiingereza.

Kwani shida nini?
 
Kwa jinsi kiingereza kilivyonitesa nilipopata scholarship nje ya nchi, nitahakikisha mtoto wangu ajue kwanza Kiingereza,pili Kiswahili na tatu lugha ya kabila langu.
 
Nchi za Ulaya karibia zote isipokuwa UK hawaongei kiingereza wanalugha zao. Na ndo zinamaisha mazuri kila siku Tunakimbilia huko.

Wachina, Japan hawajui kiingereza na wako vizuri katika teknolojia.

Kujua kiingereza Ni vizuri lakini sio ufunguo wa mafanikio kwamba ukijua lazima ufanikiwe
Ujerumani,Uholanzi , Denmark, Norway nk wanajua kuongea Kiingereza kuliko Tanzania,kuliko Kenya. Hao wajapan ,Wachina wasomi wao wanajua Kichina.

Unafikiri hizo tends wanazoshinda Wachina hutangazwa kwa kichina?

Angel Merkel wote hao wanajua fluent English.
 
Sijasema hawajui kiingereza, nimesema hawaongei kiingereza Kama Lugha ya taifa wanalugha zao. Meaning English kwao sio first language Ni second Language.

Unaeza kuwa fluent hata kwenye Lugha 5 Lakini Lugha yako ya taifa ndio First language yako.
 
Habari zenu wakuu,

Siku hizi katika jamii yenu Kuna Jambo limeshamiri Sana. Watoto wanaosona hizi shule za English medium shuleni mtoto anaongea English na Wazazi wakiwa wanaelimu wanajua English Basi nyumbani Kiswahili hakizungumzwi nao watamuongelesha mtoto English.

Utakuta kwenye familia Wazazi Baba na Mama wote watanzania, kiswahili wanakiongea vizuri sana Ila wanakwambia Watoto wao hawajui Kiswahili wanaongea English tu, Tena Wazazi wanaona Kama ni Jambo la kujivunia.

Ni vizuri mtoto kujua English Kama Second Language. Lakini Hilo la kutokujua Lugha Mama ambayo anazaliwa anaikuta katika hiyo nchi aliyozaliwa na Wazazi wake wote wanaizungumza limekaaje?

Maana baada ya shule, mtoto atarudi mtaani changanyikeni ambako hicho kiingereza hakina nafasi sana labda Kama Wazazi wamepanga future ya mtoto iwe nchi zinazozungumza kiingereza.
Wapowanaoishi vijijini nao hawajui kiswahili, UNALISEMAJE HILO..!?
 
Back
Top Bottom