ni sawa kushindana mishahara?

Janice

Member
Aug 31, 2011
48
11
eti jamani shemeji yeni anashindana mishahara na mie,got a new job na sasa napata mshahara zaidi yake ila inakuwa ishu kwake!yeye anataka awe ananizidi mshahara always
 
Muulize Mwita25, vitu vya namna hii yupo fiti sana, anaweza akakupa hata uzoefu wa kushindanisha GPA, Divisions nakadhalika
 
eti jamani shemeji yeni anashindana mishahara na mie,got a new job na sasa napata mshahara zaidi yake ila inakuwa ishu kwake!yeye anataka awe ananizidi mshahara always

jinsia plz,....maake haya mambo siku hizi yanahitaji umakini sana
 
]Muulize Mwita25[/COLOR], vitu vya namna hii yupo fiti sana, anaweza akakupa hata uzoefu wa kushindanisha GPA, Divisions nakadhalika

Hala hala mti na macho_Ezan na Mwita25,......kaka hivi jamaa anakujaga hapa kweli,..maake sjui kabisa kama huyu jamaa ana mapenzi moyoni mwake
 
Chukulia ushindani wake kichanya zaidi na uone kama ni changamoto kwako na wewe kutafuta maslahi zaidi. Namna hiyo inakuwa ni win-win situation.
 
Mimi naona siyo busara kushindanisha mshahara ila mkae mpange mipango mizuri ya baadae na hiyo mishahara yenu kwa pamoja.Je anapata faida gani kushindania mshahra wako na wake?Pangeni mipango ya maendeleoooo eeehh.
 
Yaani hawa wanaume zetu acha tu na ukipanda kidogo tu inakuwa taabu oohhh nimekusaidia mpaka umepata hiyo kazi mpaka unashangaa kwenye interview huwa mnaingia watu wawili na yeye anakusaidia kufanya interview.................................mara oohh eti hunisadii mara kimepanda kimeshuka kwani kukusaidia lazimaaa
 
Dena Dena Dena....
 
Hii imetulia achangamshe akili kupata kipato zaidi kihalali... muhimu pesa zinatumika kwa maendeleo yenu na familia yenu
 
Yaani hawa wanaume zetu acha tu na ukipanda kidogo tu inakuwa taabu oohhh nimekusaidia mpaka umepata hiyo kazi mpaka unashangaa kwenye interview huwa mnaingia watu wawili na yeye anakusaidia kufanya interview.................................mara oohh eti hunisadii mara kimepanda kimeshuka kwani kukusaidia lazimaaa

nahisi kama huyo mumeo umemchoka hadi basi....
 
eti jamani shemeji yeni anashindana mishahara na mie,got a new job na sasa napata mshahara zaidi yake ila inakuwa ishu kwake!yeye anataka awe ananizidi mshahara always

sijakuelwa
anataka kukuzidi huku mshahara wake anautumia
kwa familia au anataka wewe wako ndo utumike?
 
Janice, I hear you loud and clear, but as an independent woman, I can assure you woman power is nothing with no one to love you by your side! Of course not saying one has to stand abusive guys, but all this noise about independent women, girl power, blah, blah, blah is a Eurocentric construction. What we need is love and respect each other!
 
Yaani hawa wanaume zetu acha tu na ukipanda kidogo tu inakuwa taabu oohhh nimekusaidia mpaka umepata hiyo kazi mpaka unashangaa kwenye interview huwa mnaingia watu wawili na yeye anakusaidia kufanya interview.................................mara oohh eti hunisadii mara kimepanda kimeshuka kwani kukusaidia lazimaaa
<br />
<br />
mmmh!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom