Ni sawa kusherehekea mapinduzi ya 1972?

MrFroasty

JF-Expert Member
Jun 23, 2009
1,195
590
Mie napenda kuuliza, kama ni sawa kusherehekea mauaji ya wazanzibari yaliyofanyika mwaka 64.Wengi watakuja na hoja zao yameleta ukombozi na porojo jengine, jee ni sawa kusherehekea mauaji ya 1972?

Tujaalie kuwa wapo wazanzibari ambao wamefaidika na mapinduzi ya 1972, kama ilivyo hoja ya hayo mapinduzi ya 1964.Utajisikia vipi kama utaona gurupu la wazanzibari likicheza ngoma kusherehekea mapinduzi haya ya 1972, ambayo yalimtoa roho Mzee Karume?

Naomba tutafakari vizuri, maana isiwe mkuki kwa nguruwe mtamu…
 
Back
Top Bottom