Ni sawa JK kukampeni na JW/TPDF? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni sawa JK kukampeni na JW/TPDF?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mdau, Sep 25, 2010.

 1. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Wadau jamvini,ni mara ya pili sasa namuona mgombea urais wa CCM, Jakaya Kikwete (akilindwa?) na askari kadhaa toka Jeshi la Wananchi...sijaelewa kwamba ni sababu au mahitaji yapi yanafanya hali iwe hivyo, tafadhali mwenye maelezo na ayaweke hapa....
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Sio jwtz tu! Hata majini pia....hujayaona?
   
 3. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Kiukweli majini sijayaona, huwa yanakaa upande gani??
   
 4. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Ilibidi CCM watoe walinzi awapo jukwaani lakini kwa kuwa katiba inasema kuwa there is no time kuwa Jamhuri ikakosa rais basi nadhani ktk sheria au kanuni za ulinzi wa rais zinaruhusu jamaa wa kikosi cha ulinzi wa rais kumpetipeti. Ila kama wenzetu hawa wangekuwa wabunifu wangelikuwa na shield ya kuondoa taswira kwamba HUYU MNAYEMWONA tunayemlinda ndiye na atakuwa rais wenu.

  Ninyi watu wa protokali wa rais jaribuni kuboresha mazingia, au kama vipi basi wagombea wooote wa urais wapewe wanajeshi na wanausalama nyuma yao maana wana status ya nusu rais (lolote laweza kutokea) hivyo wapewe haki sawa.

  Nashauri tujadili mjadala huu tukiwa na fikra kwamba kuna ombwe kwenye katiba kuhusu suala hili.
   
 5. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #5
  Sep 26, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa kwani wagombea wote waliotambuliwa katika kinyang'nyiro, hicho mmoja wao anaweza kua Rais hivyo wote wanapashwa kupatiwa ulinzi
   
 6. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2010
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  bado ni Raisi, ila nadhani ndio anaaga hivyo.
   
 7. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Hotuba yake ya kuwatisha wafanyakazi wasigome ilikua na chembe za "MIMI HAPA NDIYE RAIS,NUKTA"..sikuona mantiki ya kuzungukwa na wakuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama...
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kuna haja ya kubadili katiba ya nchi tukipata chama kipya madarakani
   
 9. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Kuna haja ya kuibadili ccm madarakani ili tupate katiba mpya
   
 10. Mgeninani

  Mgeninani Senior Member

  #10
  Sep 26, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku zote hata wao walikua na uwezo wa kuibadili ila kwa wao hawawezi mana ni sawa na kujitia kitanzi wenyewe
   
 11. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Wangebadili tusingepata uwezo wa kujua uozo wao...by the way,hawana uwezo huo, ni walafi...
   
 12. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kaka suala la kuwa na mwanajeshi ni suala la urais wake na kama Amiri Jeshi Mkuu ambalo halina uhusiano na ugombea wake. Siku anapo ondoka yule mwanaeshi nyuma yake ni ishara kuwa jeshi limevunja utiifu kwake kama rais na amiri jeshi mkuu...ungependa kuona hilo linatokea??
   
 13. B

  Bunsen Burner Member

  #13
  Sep 28, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Bwana ni tatizo la katiba zetu amabazo zina grey areas nyingi, manake mie na experience ya kuwa kwenye nchi kama Botswana, Namibia and SA, wakati wa uchaguzi hao majeshi wanaomlinda rais anayegombea tena, wanavaa nguo za kiraia tu bila kutishia watu kama sisi !!
   
 14. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Lakini ni sawa kuongozana naye kwenye kampeni?? Kwani JW si wanatakiwa wakae makambini kwao? Au kukaa nyuma yake ni hadi kwenye kampeni??
   
Loading...