Ni sawa aliyofanyiwa Bobby kwenye msiba wa Whitney Huoston....

platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
9,366
11,154
Alikuja na watu wanane kwenye kanisa la Baptist ulipopelekwa mwil wa Whitney lakini familia ya Whitney ikamkatalia,hata alipotaka kukaa na mwanae Bob Christa familia pia ilikataa.Akaishia kusindikiza jeneza kuingia kanisani na baadae kuondoka.Nimepitia mtandao wa MSN na kufurahishwa na haya maoni:
1
Who are we to judge? However, Bobby should have been there for the support of their Daughter. What happen between them is history and should be treated as such with the understanding that their Daughter needs all the love She can receive from everyone. We, as people,are quick to judge but, don't want others to judge us. Simply put... Don't judge until you walk in that persons shoes. God forgives all who ask for forgiveness and I'm sure Whitney call on him when the time was right.
2
Reflectionism is questioning oneself:
· Do you believe you are the person you say you are?
· And if so are you reflecting it?
· If not, are you doing everything possible to become that person?
 
basi km niliskia bobby hakuenda kwenye msiba wa whitney coz alikua na dharura!?
Au nimeelewa vibaya?
 
Ah... Mi kiufupi nilisikitishwa sana na kifo chake.. Na nahisi maisha yake yamefupishwa na mgogoro wa ndoa yake na mumewe...
 
basi km niliskia bobby hakuenda kwenye msiba wa whitney coz alikua na dharura!?
Au nimeelewa vibaya?

Alienda kama nilivyoeleza ila aliondoka after short time baada ya kukataliwa kukaa sehemu ya wanafamilia na au Bob c
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom