Makombe yenyewe ya bati, hayo siku yoyote yanapata kutu ni valueless, thamani yake ni kama tatu mia tano, msimaindi sana mnapogegedwa kidosiMuhindi mtu mbaya sana. Afadhali ya Mchina.
Kabatini nyumbani kwa mwamedi. Yanawekwa pamoja na ile khanga ya Gymkhana Club😂🤣😅Waswahili mna gubu sana, hayo makombe yamesogezwa hapo karibu kwasababu ya publicity, press ikiisha yanarudishwa kabatini.
Na Mimi ni KAPONGO mugwata, hebu tujijadili inboboJengo la Klabu limetelekezwa na kubaki makazi ya popo, mbu, na panya!
Inawezekana keshainunua Simba kwa mlango wa nyuma....fikiria uwanja wa akina Kaduguda kule Bunju unaitwa Mo Arena, na timu ya wasichana inasimamiwa na nani vile?