Ni sahihi ofisi binafsi ya Mo kuhifadhi makombe yaliotwaliwa na simba kwenye ofisi yake binfasi?

Wakiyaweka ghetto kwako ,utawalipa mishahara Chama na Lwanga wewe?
 
Mo ndio mungu wa Mikia FC

Yaani lazima wamnyenyekee hata akiweka makombe chooni kwake hawana la kufanya wala kusema

Mikia ni mikia tu masikini
 
Back
Top Bottom