Ni sahihi ofisi binafsi ya Mo kuhifadhi makombe yaliotwaliwa na simba kwenye ofisi yake binfasi?

Ramon Abbas

JF-Expert Member
May 4, 2021
1,964
3,900
Muhindi mtu mbaya sana. Afadhali ya Mchina.

1627714288478.png
 
Mie sidhani kwamba yanahifadiwa pale yalipo. Nyuma ya hayo ma-kombe kuna runinga, kwa hiyo haiwezekani watu washindwe kuangalia runinga sababu ya hayo makombe. Kimsingi, makombe hutunzwa katika makabati maalum!

Safari yetu latika mpira ni ndefu mno kulikua na ulazima gani kufanyia mkutano ofisi binafsi na sio klabuni
 
Ila runinga ya boss nayo imetisha,ni serie 3 hii kama sikosei
 
Yaliwekwa pale mbele ili yaonekane vizuri ili watu walioko huko CAS waukie zaid baada ya meeting yatarud sehem yake
 
Safari yetu latika mpira ni ndefu mno kulikua na ulazima gani kufanyia mkutano ofisi binafsi na sio klabuni
Una fahamu ofisi ya simba ilipo? Je una jua huo mkutano ulifanyika wapi?

Je wajua kuwa makombe yana wezwa bebwa, yaani yana hamishika hivyo hata angeweka press karume au Serena hotel akiwa na makombe kuonesha kwa ulimwengu kuwa yangu awekeze mafanikio yake ni hayo...

Nashauri nenda ktk page ya simba, mo uone au kujilizisha kuwa mkutano ulifanyika wapi na je kuna ubaya kufanya press kukiwa na makombe pembeni?
 
Utopolo mnatabu sana,yani mnajipa presha wakati wanasimba wenye timu wame-relax.
 
Safari yetu latika mpira ni ndefu mno kulikua na ulazima gani kufanyia mkutano ofisi binafsi na sio klabuni
Unafahamu ofisi za simba zilipo?!! Kuna vitu vinaitaji akili kidogo tu Kung'amua wala si vya kufungulia uzi hapa jf.inaonyesha watz wengi wana uwezo mdogo wa akili,ukiwemo wewe mleta uzi.
 
Safari yetu latika mpira ni ndefu mno kulikua na ulazima gani kufanyia mkutano ofisi binafsi na sio klabuni
Jengo la Klabu limetelekezwa na kubaki makazi ya popo, mbu, na panya!
Inawezekana keshainunua Simba kwa mlango wa nyuma....fikiria uwanja wa akina Kaduguda kule Bunju unaitwa Mo Arena, na timu ya wasichana inasimamiwa na nani vile?
 
Back
Top Bottom