Ni sahihi mwanaume kuoa mwanamke anayemzidi umri?

Mimi napenda mpenzi wangu anizidi kila kitu na mzoefu tunayeendana umri tutashindwana maana wanaume akili zao huwa zito vile tuko same age nitamuona Hana akili, pia bana wanawake tukizaa mwili hubadilika na kuwa wamama kuliko mwanaume
Nipo nipo njoo PM, mama njoo upate penzi tamu kama alilopewa Ray C.
 
Ngozi ikianza kuwa oversize (makunyanzi) hapo ndipo tatizo lilipo
Mke wako akipata kunyanzi utamuacha?. Kumpenda mtu Ni zaidi ya muonekano wake wa nje. Siku za Kwanza muonekano wa nje hukuvutia lakini baadae... Unampenda mtu kiundani zaidi

Je mkeo akiparalyse mdomo ukienda upande utamuacha?. ... Loving a person Ni Zaid ya uso mzuri, wezere, six-pack au bigtits.
 
Kitu gani kinachokufanya umpende mtu kwa mara ya kwanza umuonapo?
 
Back
Top Bottom