cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 85,596
- 137,334
Heshima yako Mkuu
Duh, nyie mbona hamkutuambia sisi wakati tunaajiriwa, ila siku hizi wanataka cheti cha kuzaliwa wanalinganisha na transcript za Vyuo
Umejitahidi28-32 ndio muda wa kuwa kwenye ndoa,chini ya hapo ndoa itakua na ugomvi kila siku as mko immatured,na mkioana Zaidi ya hio age group,itakua na matatizo as well sababu ni umri wa ku focus na career/income so kubalance family life na work inakua ngumu kidogo…..nilionaga mahali sijui kama niko right..
Jistaafie kes hiari kimbia kikotooShukuru Mungu hujarudisha nyuma miaka, usiombe inatesaaa, ni zaidi ya adhabu.
Unaweza kuta mtumishi wa umma anasinzia tuu kwenye dawati, sio kama usiku halali au ana kazi nyingi nyumbani.... umriii, hapo alishatakiwa kustaafu muda mwingi tuu.
Mi najuta hapa sema tuu basi siwezi kujilipua na kiapo kuwa wakati nazaliwa walikosea kunakili mwaka niliozaliwa...
Asante GrannyIkurudie robo yake Mjukuu, kwema?
Tuma mshenga kabisa kwa mwanzilishi wa jf
NimeghairiTuma mshenga kabisa kwa mwanzilishi wa jf