Ni sahihi Mkuu wa Majeshi(CDF) kufanya Press conference?

Kumbuka major general kavamiwa na kupigwa risasi hivyo sio ishu yeye kuja na kulizungumzia hilo tukio na kutuliza hali inayoendelea nchini

Major general mtu mkubwa ase jeshini nadhani lengo haswa ya press ilichagizwa na major general kuvamiwa kwa bunduki
Ongezea mstaafu
 
Ifike mahali tuache kujifanya kila jambo tunalifahamu hivi nani anatudanganya hivi yaan kikaragosi unahoji Uhalali wa Jenerali kufanya press??
Mungu ibariki Tanazania naona wale vicha laki 7 humu wanatoka nusu khaaa
na bado hizi zama sio zile za taarifa mpaka usome gazeti la uhuru ambalo kulipata ni mpaka ipite wiki yani habari ya wiki iliyopita unaisoma wiki ijayo hizo zama zishapita kwahiyo watu kama nyie mjiandae kisaikolojia kwamba kwa mtizamo huo mtapata upinzani mkali zaidi miaka michache ijayo vinginevyo muamue kuendesha nchi kidikteta rasmi.
 
CDF naye, by virtue of being CDF, ni msemaji wa jeshi, hata kama si kwa title.

Kwa sababu huyo msemaji wa jeshi mwenyewe anapitisha mambo kwa CDF kabla ya kusema.

Ulichosemani kama unashangaa rais kufanya press conference badala ya Msigwa.

Kama rais anaweza kufanya press conference, kwa nini CDF asiweze?

Tatizo tumewafanya wanajeshi wetu kama miungu watu, we need to humanize them.

Hapo kafanya press conference tu hivyo, angeenda mashuleni kupigisha gwaride future recruits?
Tatizo sio press conference tatizo ni kuongelea mambo ambayo hayako chini yake.
 
Kwani kasema jeshi ndio wanaingia mzigoni ?Au kawaambia police iwepo watuhumiwa wakikamatwa wahojiwe kama walishawahi kupitia jkt

Cdf anayaongoza majeshi yote ikiwepo polisi fahamu hilo jambo lolote la national security lazima apewe ripoti sabb police wapo chini yake kwahali inayoendelea lazima afahamu branch yake ya police kazi wanaifanya kwa uweledi upi huenda unadhani police wapo independent .hapana hawapo independent cdf anawamiliki


Kwahiyo kuongea na media kujidhalilisha hebu mtafute cdf wa USA ana press conference zaidi ya 100 akizungumzia national security nk nk..ni mara ngapi umemsikia akiongea kama sio mara moja pia fahamu major general kashambuliwa na mauaji ya mara kwa mara hivyo lazima awe concerned na national security
Hebu rudia sijakusikia vizuri kwamba polisi iko chini ya cdf?
 
Wateuzi..
Mapambio kwa boss wao kwanza haijalishi nani na wapi hilo ndoo kipaumbele nadhani walichopewa / na uki failed tu bac ujuwe imekula kwako / au mmesahau yaliyo mtokea igp mangu???
 
Swali hili sasa sijui ujibiweje,we mwenyewe umeshasema huyi ni mkuu wa majeshi alafu unauliza swali eti ni kama unashangaa.

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Jamaa yangu kwanini asitoke police
Kuna jeshi la ardhini, majini na angani na ndio maana anaitwa mkuu wa majeshi. Yeye ni mkuu wa majeshi hayo. Uhamiaji,magereza, polisi na zimamoto ni idara za serikali sio jeshi.
Kwahiyo kaka unatakakuniambia tunavyo au nisikiavyo jeshi la magereza jeshi la police jeshi la zimamoto huwa wanakosea hata vibao vyao vinatambulisha vimeandikwa kwa utambulisho kama jeshi pia katika jeshi la police kuna hawa ffu police kawaida na wapelelezi kwakua nihivyo kwanini mkuu wao asiitwe mkuu majeshi yapolisi nahuitwa mkuu wa jeshi la police?
 
Cdf ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama hivyo majeshi yote ya ulinzi yapo chini yake


mkuu kamandi ya Ardhi ni LT. mwakibolwa

mkuu kamandi ya jeshi la anga ni Gen.Ingram

Jeshi la maji lina mkuu wake

Jeshi la magereza lina mkuu wake
Jeshi la zimamoto lina mkuu wake
Jkt mkuu wake ni Brigadier isamuyo

Jeshi la polisi mkuu wake ni Sirro

Sasa waunganishe hao wote wapo chini ya CDF ,chief of defence force yeye ndio mkuu wao ndio maana akaitwa mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama

Chukua hiyo najua ulikuwa hujui sasa kuanzia leo fahamu hilo


Sirro yuko chini ya CDF?

Yaani anaripoti kwake?

Hiyo ipo kwenye mamlaka gani? Katiba?

Unaweza kunipa source niweze kufuta ujinga????
 
Kumbuka major general kavamiwa na kupigwa risasi hivyo sio ishu yeye kuja na kulizungumzia hilo tukio na kutuliza hali inayoendelea nchini

Major general mtu mkubwa ase jeshini nadhani lengo haswa ya press ilichagizwa na major general kuvamiwa kwa bunduki
Ndio,sio kazi yake,aongee kiofisi na IGP ampe order nn cha kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeshi limeingiliwa kwa Mara ya kwanza tangu mwalimu jeshi litatumika kisiasa atadharauriwa cdf kama siro kwa as Abu nafasi zao wamezifanya za kutumikia wanasiasa badala ya nchi[/QUOTE

....Kwanini Mkuu wa Majeshi?
....Why??
....Place
1. Muundo wa Jeshi letu(Jeshi La Wanachi Wa Tanzania)unampa fursa Mkuu huyo kuongea na kutolea ufafanuzi iwe jambo la Kiusalama,Operesheni Shirikishi,Mabadiliko au Maamuzi yaliyofanywa na C.I. C n.k,si tu Kwa Wanajeshi wetu, Bali hata sisi Raia.

2.Kulikuwa na haja ya Aidha Kutolea Taarifa au Kuonya Juu ya swala la wananchi wanao Toa hongo,na baadhi ya wanajeshi wanao POKEA hongo hizo kwa ajili ya kutafuta/kupewa Kazi Jeshini.Kumbuka kuwa Nidhamu na Usafi(physical and systematic) is Paramount in the Army.

3.Lakini ikumbukwe kuwa The Four Star General alitolea ufafanuzi huu akiwa na Maofisa wake wa Ngazi za Juu pale Ngome! Syo kwenye Jukwaa au Mhadhara wa Kisiasa.
 
Hii ni sinema imetengenezwa kuzima tukio la TL lakini wazi imebuma kutoka kwa director mwenyewe, ukitazama vyema utagundua hata waigizaji wenyewe hawajui wanafanya nini, Mzee wa watu wamemdungua bila sababu.
 
Back
Top Bottom