Ni sahihi mke kusifia uzuri wa mumewe kama vile macho,vidole n.k.?

safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
11,161
15,836
Uzima ndio sifa ya watumiaji wa JF natumai kila anaesoma hii post ni mzima wa afya,wagongwa hasa hawawezi lolote hata kushika simu tabu.TUMSHUKURU MUNGU KWA KWELI.

naomba tuchangie mawazo kidogo kuhusu suala la mke kumsifia mumewe kwa mambo mbali mbali..

Mfano
Mke anamuambia mumewe "Una macho mazuri mume wangu " au " mume wangu napenda vidile vyako vizuri sana " au "myme wangu una sura nzuri sana " au "mume wangu una kope nzuro" na mfano wa hayoo...

Yani mume anasifiwa kwa mambo ambayo mwanamke ndo husifiwa kwayo,asije mwisho wa siku mke akasifia "mume wangu una shepu nzuriiii.."..??

Mimi binafsi sifurahi na naona kwamba mume hastahiki kupewa hizi sifa bali mwanamke ndo anatakiwa asifiwe aisee

,yani mke amsifie mumewe uzuri alafu na mume amsifie mkewe uzuri sasa hapa naona kama haijakaa sawaa hivi kwa UPANDE WANGU.

Wewe ukisifiwa unajisikiaje..?

Na unachukuliaje mwanaume kusifiwa uzuri wa sura,ni sifa ya kusifiwa kweli hiyo...?
 
Sa asipomsifia mumewe asifie nani??
Yaani huyo ndo mtu sahihi kabisa kumsifia
Unachukuliaje mfano wewe Ndugu unasifiwa kama mwanamke mkuu

Labda mke anasema.."mume wangu una lipsi nzurii nikupake lipstick?"... Mtu anakusifia hapo mfano..

Au

Mume wangu una macho mazuri nakulaka wanja...?

Hii kwa upande wako unaionaje bwamkubwa..?
 
Uzima ndio sifa ya watumiaji wa JF natumai kila anaesoma hii post ni mzima wa afya,wagongwa hasa hawawezi lolote hata kushika simu tabu.TUMSHUKURU MUNGU KWA KWELI.

naomba tuchangie mawazo kidogo kuhusu suala la mke kumsifia mumewe kwa mambo mbali mbali..

Mfano
Mke anamuambia mumewe "Una macho mazuri mume wangu " au " mume wangu napenda vidile vyako vizuri sana " au "myme wangu una sura nzuri sana " au "mume wangu una kope nzuro" na mfano wa hayoo...

Yani mume anasifiwa kwa mambo ambayo mwanamke ndo husifiwa kwayo,asije mwisho wa siku mke akasifia "mume wangu una shepu nzuriiii.."..??

Mimi binafsi sifurahi na naona kwamba mume hastahiki kupewa hizi sifa bali mwanamke ndo anatakiwa asifiwe aisee

,yani mke amsifie mumewe uzuri alafu na mume amsifie mkewe uzuri sasa hapa naona kama haijakaa sawaa hivi kwa UPANDE WANGU.

Wewe ukisifiwa unajisikiaje..?

Na unachukuliaje mwanaume kusifiwa uzuri wa sura,ni sifa ya kusifiwa kweli hiyo...?
Mwanaume kusifiwa sio jambo baya. Wale ambao sio wazuri. Hawazungumzii chochote katika hayo.
Na ikitokea wametamka hata kwa bahati mbaya tu, mfano Pua, Mdomo, inakwenda na ufafanuzi mrefu ili tu, usieleweke vibaya.
Huishia kusifiana vitu ambavyo ni Intangibles kama, Akili, kujua Mapenzi basi.

Shukuru Mwanaume umesifiwa Kope. Wengine husifiwa kua wanajua kuamka asubuhi na mapema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom