Ni sahihi kwa mshahara huu wanaolipa wawekezaji?

Danny N

Senior Member
Jul 19, 2011
113
25
Kuna hii kampuni mpya ya simu viettel ya vietnam...wanalipa mshahara sawa kwa kada zote nikimaanisha astashahada..stashahada na shahada....sijajua kwa wale wenye elimu zaid ya hapo..je hii sahihi, na serikali inachukulia vipi? Hawajawapa utaratibu wa malipo ya mshahara kulingana na kiwango cha elimu ya Tanzania?
 
Hakuna sheria kama hiyo mshahara ni makubaliano ili mradi ufikie viwango cha kima cha chini.
 
Hicho kiwango cha chini ni kwa ujumla au kulingana na ngazi ya elimu?
 
Tatizo la madogo mliomaliza vyuo juzi juzi mnakuwa na expectations nyiingi mnoo.
Serikali imetoa viwango vya minimum ambavyo mwekezaji anatakiwa alipe waajiriwa wake.

Kama mwekezaji halipi chini ya kiwango kilichowekwa kama akiamua hata alipe flat kwa waajiriwa wote still yupo sawa hajavunja sheria ili mradi tuu isiwe chini ya kiwango kilichowekwa na Serikali kwa kila nafasi na elimu ya mwajiriwa.
 
Kuna hii kampuni mpya ya simu viettel ya vietnam...wanalipa mshahara sawa kwa kada zote nikimaanisha astashahada..stashahada na shahada....sijajua kwa wale wenye elimu zaid ya hapo..je hii sahihi, na serikali inachukulia vipi? Hawajawapa utaratibu wa malipo ya mshahara kulingana na kiwango cha elimu ya Tanzania?
ni shillingi ngapi hiyo
 
Tatizo la madogo mliomaliza vyuo juzi juzi mnakuwa na expectations nyiingi mnoo.
Serikali imetoa viwango vya minimum ambavyo mwekezaji anatakiwa alipe waajiriwa wake.

Kama mwekezaji halipi chini ya kiwango kilichowekwa kama akiamua hata alipe flat kwa waajiriwa wote still yupo sawa hajavunja sheria ili mradi tuu isiwe chini ya kiwango kilichowekwa na Serikali kwa kila nafasi na elimu ya mwajiriwa.
Sawa mkuu umeeleka
 
Mbona umetaja tu basic salary, what about house, car and over time allowances?
 
Back
Top Bottom