Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Nimepitia majadiliano yaliyomo kwenye vyombo vya habari hapa nchini (soma majira ya leo utaona kuna kichwa cha habari ukurasa wa 1 kisemacho "Mashoga Dar wataka kutambuliwa kikatiba" na kwenye luninga ya the CITIZEN ya Kenya leo asubuhi katika kipindi cha Citizen Newspaper Review kulikuwa na mjadala mkali wa waziri wa Kenya na washika dau wa ushoga wakidai "gay rights are human rights"
Nionavyo kumdhulumu Muumba kamwe haiwezi kuwa ni haki za binadamu.........................sijui wenzangu mnalionaje hili suala.................Muumba yupo wazi anachukia ushoga wa aina zote bila hata ya kunukuu mistari ya Bibilia Takatifu......................................Muumba alimwuumba Adam halafu Hawa ili wawe pamoja na kusaidiana katika kero za kidunia sasa haya mengineyo yanatoka wapi?