Ni sahihi kwa mashoga kudai wanapunjwa haki za binadamu!!!!!!!!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,468
911,172
Nimepitia majadiliano yaliyomo kwenye vyombo vya habari hapa nchini (soma majira ya leo utaona kuna kichwa cha habari ukurasa wa 1 kisemacho "Mashoga Dar wataka kutambuliwa kikatiba" na kwenye luninga ya the CITIZEN ya Kenya leo asubuhi katika kipindi cha Citizen Newspaper Review kulikuwa na mjadala mkali wa waziri wa Kenya na washika dau wa ushoga wakidai "gay rights are human rights"

Nionavyo kumdhulumu Muumba kamwe haiwezi kuwa ni haki za binadamu.........................sijui wenzangu mnalionaje hili suala.................Muumba yupo wazi anachukia ushoga wa aina zote bila hata ya kunukuu mistari ya Bibilia Takatifu......................................Muumba alimwuumba Adam halafu Hawa ili wawe pamoja na kusaidiana katika kero za kidunia sasa haya mengineyo yanatoka wapi?
 
Hivi katiba inasemaje kuhusu ushoga? nadhani haikemei ushoga wala hairuhusu. Hivyo ni ngumu kulisemea hili ngoja waje wadau wengine
 
hyo imekula kwao hakuna haki wala nn haya majamaaa ni mapimbi na ni masenge kwel m nashaur wanaowatia waweke mgomo barid cjui watajitia wenyewe
 
Rutashubanyuma hii issue ni nyeti saaana na ni mtihani kwa kweli.... Tabia wanayofanya ni chafu saana na kwa kiasi kikubwa wanachangia saana kwa kuporomoka kwa jamii... for mie naamini kuna mambo ukifanya there is no coming back for there are lines that you are never allowed to cross... na kuhalalisha kwa back door ni moja yao... Mie mtu ambae kweli kajitambulisha kua yeye ni shoga... Bado ni mshamba bado hivo humuangalia bila kummaliza (thou ni stolen glances, asking qns such as.. ilikuaje?? why?? his loved ones how do they feel?? on and on and on maswali forms themselves kichwani mwangu humu)... Sad.

Nikirudi katika hilo swala uloongea kua hapa Ruta....

Nionavyo kumdhulumu Muumba kamwe haiwezi kuwa ni haki za binadamu.........................sijui wenzangu mnalionaje hili suala.................Muumba yupo wazi anachukia ushoga wa aina zote bila hata ya kunukuu mistari ya Bibilia Takatifu......................................Muum ba alimwuumba Adam halafu Hawa ili wawe pamoja na kusaidiana katika kero za kidunia sasa haya mengineyo yanatoka wapi?

IMO hua nasema who are whe to judge them?? Kwamba sie ambao ni straight ndio kipimo cha Utakatifu kwa Mwenyezi Mungu... kwamba madhambi yooote alikataza na kila mmoja wetu anafanya kila siku sio dhambi mbele ya Mungu?? Kwamba JE "Huyo mtu ambae ni shoga na He is a really Great person with an exception ya kua yeye ni shoga" - is he better than me.... ambae niko STRAIGHT But nidhamu katika maisha na wale walonizunguka ni "F".... Nini hasa kipimo?? Na kama woote ni wakosefu kwa Mungu.... kwanini yeye tumjudge kua hata haki?? Mie naungana na wale ambao wanawatetea kupata haki za kibinadamu... ila SITETEI KAMWE wanao support na kuwa sukuma kutoka "out of the closet" For kikubwa tujiulize...wana tofauti na wale ambao wameoana Mwanamke na Mwanaume na njia ya Back door ndio njia kubwa na Front door kwa ajili ya kuzaa.....
 
Mkuu acha mie ninukuu haka kamstari ka biblia kamoja...."Ole wao!kwa sababu walikwenda katika njia ya Kaini,na kulifuata kosa la Balaamu pasipo kujizuia,kwa ajili ya ujira,nao wameangamia katika maasi ya kora" Waraka wa Yuda,mstari 11...kwa ajiri ya ujira mashoga wameangamia alafu eti wanataka na katiba iwatambue.
 
Mimi hawa watu huwa nawaona kama vichaa vile maana naona kama hawaoni wanajidhalilisha

Ni aibu kubwa sana hii kha?!!
 
Ni vizuri tukapaza sauti zetu kupinga haya kwani ni kinyume na mafundisho ya dini zetu na maadili yetu watanzania. Lakini tukumbuke kuwa mabwana wakubwa nchi zilizo endelea ziko mbioni kuyaleta mambo haya kwetu nadhani mmesikia ya malawi mashoga walifungwa then Katibu mkuu wa umoja wa mataifa alikwenda kuwatetea cjui kama bado wako gerezani au laa. tukiwa wagumu tutaambiwa kuwa hatufuati demokrasia. kazi kweli kweli .......
 
na jana walikuwepo kwenye tamasha la jinsia pale TGNP wanataka watambuliwe..kwa kweli wanabore kama si kukera...sitaki..sipendi kusikia wala kuwaonaßßß
 
Mie naungana na wale ambao wanawatetea kupata haki za kibinadamu

Haki za kibinadamu ni pamoja na kuwa na mahusiano na faragha zao kulindwa, kwa maana hiyo ile shria inayokataza masuala ya kishoga hapa nchini wewe unaipinga kabisa....Kumbe hata JF wapo wanaharakati wa haki za mashoga?
 
Hili jambo latakiwa kutazamwa kwa undani na kwa umakini wa hali ya juu kwani lina sura mbili na zote zina hoja za msingi...
Binafsi siungi mkono ushoga kwa 100%.
Pia siungi mkono kumnyanyaswa kwa mtu mwenye tabia za ushoga.
Ninachojua ni kwamba kuruhusu hawa jamaa kikatiba tutaharibu watoto wetu kwa kutaka kujifunza ushoga upoje kwani wataona ni jambo sahihi kwani sheria inawalinda.
 
mbona siku zote wanalalama ashoga tu!! hiv wateja zao ni akina nan? vijana , wenyendoa au? manake mi siku zote huwa najiuliza hiv hii issue inafanywa na nana?
 
Wanataka watambuliwe wakati wao wenyewe hawana ujasiri wa kujionesha. Hao hatuwatambui kikatiba wala kibiblia.
 
kwa kweli napinga kwa nguvuzote, nakereka sana sana Mungu atuepushie hili balaa, wabaki hukohuko mafichoni
 
nilikuwa kwenye gender festival 2011 Tanzania na wao walikuwepo wanadai katiba ya jamhuri ya muungano watz iwatambue
 
pole maana sa kama wameweza kuja kwenye gender festival maanake hawako mafichoni tena
 
Haki za kibinadamu ni pamoja na kuwa na mahusiano na faragha zao kulindwa, kwa maana hiyo ile shria inayokataza masuala ya kishoga hapa nchini wewe unaipinga kabisa....Kumbe hata JF wapo wanaharakati wa haki za mashoga?



Yaani nduka wakati umechagua kuni quote hapo..... kwa nini hukuchukua the whole sentence??
 
kwa akili yako hao ni binadamu??
embu watake radhi wana jf kwa kuhalalisha ushoga jamvini pls
 
Wanataka watambuliwe wakati wao wenyewe hawana ujasiri wa kujionesha. Hao hatuwatambui kikatiba wala kibiblia.
<br />
<br />
Hata kidogo hawatatambulika na bila shaka kuna ninachotaka kuongeza hapa lkn naogopa u2 wa kibinadamu.
 
Back
Top Bottom