Ni sahihi kuvaa kandambili au kobazi kwenye public?

Joto watembee uchi hata sandles wasivae, maana joto sio mchezo.
Niliona mtu kavaa leather jacket kwa baridi la hapa kwetu nikafurahi mwenyewe.
Hupangiwi, ila kandambili vaeni kwenu, mkitoka vaeni viatu vya kufunika muguu jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usimlazimishe MTU mavai unayiona wewe bora kwako,,,kama UNAVAA KAUNDA SUTI basi wote wavae unavyotaka wewe? Sandles sio KANDAMBILI....uelewe hapo kwanza,,,SANDLE YA NGOZI ,,,IMENYOOKA MGUUNI,,DUKANI BEI IMESIMAMA,,utaishushaje hadhi YAKE MKUU? huwezi KUENDEA KAZINI,, lakini mtoko wa SUMMER TIME kwann nisitoke?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchafu, mnatimua vumbi na kuturushia tope

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuturushia ama kukurushia ...??

Acha majivuno na kujisikia ... umeanza na kandambili, then utakuja suruali na kaptura, mwisho utakuja tajiri na masikini, mwisho hata wewe mwenyewe hutapona. As long as sio kosa kisheria, just shut up na stay on your lane

You have nothing you can do on that
 
Usimlazimishe MTU mavai unayiona wewe bora kwako,,,kama UNAVAA KAUNDA SUTI basi wote wavae unavyotaka wewe? Sandles sio KANDAMBILI....uelewe hapo kwanza,,,SANDLE YA NGOZI ,,,IMENYOOKA MGUUNI,,DUKANI BEI IMESIMAMA,,utaishushaje hadhi YAKE MKUU? huwezi KUENDEA KAZINI,, lakini mtoko wa SUMMER TIME kwann nisitoke?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna baadhi ya wanaume pia wanavaa "singlendi" tu unawakuta wanazunguka mjini. Hili unalizungumziaje? 🎤
 
Hahaha samahani nilidhani joto lina justify kuwa mtupu, nilikuwa naongezea kwenye maoni yako.
Samahani lakini kwa kutokunielewa, maoni yako yanaheshimika
Tafadhali jiheshimu.

Umeleta uzi tumetoa maoni yetu.

Kila mtu ana maaumuzi yake jifunze kuheshimu maamuzi Na wenzio Na sio tu conclusion zisizo Na msingi.


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S
Hahaha vaeni viatu jamani, sandles na flipflop ni uchafu kuzunguka nazo mjini. Hizo vaenu ndani ya mageti yenu, ukienda nje vaa viatu kwa ustaarabu.
Hakuna kandambili inayovutia, miguu michafu kandambili inavutia nini?! Mtu anatoka ukonga hadi buguruni hadi pisya jandambili gani au sandles gani zina himili joto na vumbi hilo?! Hata tairi za gari zina pata joto na kuchanika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa hapo hutoi maoni, unapangia watu. Huo ni mtazamo wako,kama wewe upo lile kundi hujui kukata kucha , hujui kuuosha mguu , fulu ukoko,vya kudumbukiza vinakuhusu.Hahahhah
 
Kwanini watu wanazurura wamevaa kandambili?! Mjini katikati mtu kavaa kandambili!

Unakuta miguu ina vumbi kupitiliza. Kwanini watu hawa wasivae viatu vinavyofunika miguu yao?!

Hizi kandambili za kuvaa huko bafuni kwenye mabafu yetu lakini kuna watu wamefanya ni kama viatu rasmi. Unakuta mtu kucha hadi zimefanana na ardhi, kwanini hawapendi kuvaa viatu?!

Kinadada wana vijikandambili wao huita simple,! Hata sielewi huu ni utamaduni au umasikini au kutokuelewa?!
Akivaa mwafrika ni uchafu
Akivaa mzungu ni fashion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom