- Thread starter
- #101
Usimlazimishe MTU mavai unayiona wewe bora kwako,,,kama UNAVAA KAUNDA SUTI basi wote wavae unavyotaka wewe? Sandles sio KANDAMBILI....uelewe hapo kwanza,,,SANDLE YA NGOZI ,,,IMENYOOKA MGUUNI,,DUKANI BEI IMESIMAMA,,utaishushaje hadhi YAKE MKUU? huwezi KUENDEA KAZINI,, lakini mtoko wa SUMMER TIME kwann nisitoke?Joto watembee uchi hata sandles wasivae, maana joto sio mchezo.
Niliona mtu kavaa leather jacket kwa baridi la hapa kwetu nikafurahi mwenyewe.
Hupangiwi, ila kandambili vaeni kwenu, mkitoka vaeni viatu vya kufunika muguu jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimlazimishe MTU mavai unayiona wewe bora kwako,,,kama UNAVAA KAUNDA SUTI basi wote wavae unavyotaka wewe? Sandles sio KANDAMBILI....uelewe hapo kwanza,,,SANDLE YA NGOZI ,,,IMENYOOKA MGUUNI,,DUKANI BEI IMESIMAMA,,utaishushaje hadhi YAKE MKUU? huwezi KUENDEA KAZINI,, lakini mtoko wa SUMMER TIME kwann nisitoke?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni uchafu, summer tembea pekupeku na ukiweza uvae chupi na sidiria tu uende uendako, jotoooo sio mchezo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali jiheshimu.
Umeleta uzi tumetoa maoni yetu.
Kila mtu ana maaumuzi yake jifunze kuheshimu maamuzi Na wenzio Na sio tu conclusion zisizo Na msingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo singlend huko Mimi sipo,,na wala huwezi ukavaa singlend town...ila kwa KUBAZI ni summer timeKuna baadhi ya wanaume pia wanavaa "singlendi" tu unawakuta wanazunguka mjini. Hili unalizungumziaje?
Hahaha hata jama unatoka Dar hadi Brunei kiatu muhimu acheni uchafu, kandambili na sandles zenu vaeni ndani ya kuta za nyumba zenu, publicly vaeni viatu vya kufunika makanyagio yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha vaeni viatu jamani, sandles na flipflop ni uchafu kuzunguka nazo mjini. Hizo vaenu ndani ya mageti yenu, ukienda nje vaa viatu kwa ustaarabu.
Hakuna kandambili inayovutia, miguu michafu kandambili inavutia nini?! Mtu anatoka ukonga hadi buguruni hadi pisya jandambili gani au sandles gani zina himili joto na vumbi hilo?! Hata tairi za gari zina pata joto na kuchanika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wendawazimu mtu mzima huwezi kufanya utoto huoKuna baadhi ya wanaume pia wanavaa "singlendi" tu unawakuta wanazunguka mjini. Hili unalizungumziaje? 🎤
KUBAZI ni hazina tofauti kubwa na kandambiliHiyo singlend huko Mimi sipo,,na wala huwezi ukavaa singlend town...ila kwa KUBAZI ni summer time
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna KANDAMBILI inauzwa sh 50,000/?KUBAZI ni hazina tofauti kubwa na kandambili
Akivaa mwafrika ni uchafuKwanini watu wanazurura wamevaa kandambili?! Mjini katikati mtu kavaa kandambili!
Unakuta miguu ina vumbi kupitiliza. Kwanini watu hawa wasivae viatu vinavyofunika miguu yao?!
Hizi kandambili za kuvaa huko bafuni kwenye mabafu yetu lakini kuna watu wamefanya ni kama viatu rasmi. Unakuta mtu kucha hadi zimefanana na ardhi, kwanini hawapendi kuvaa viatu?!
Kinadada wana vijikandambili wao huita simple,! Hata sielewi huu ni utamaduni au umasikini au kutokuelewa?!
Mi huwaga najitupia kandambili na kikaptula changu cha kitenge,Kuna zile kandambili za 3000 mpaka 5000 hizo poa sana kuzunguka nazo mjini hasa kipindi cha joto
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ingeuzwa $50,000 haiwi gari itabaki kuwa kandambili.
Hahaha hayo umesema wewe, uchafu hauna rangi
Sasa kuna faida gani KUVAA KIATU KAMA NGARAWA....si bora mwenye KUBAZI?Hata ingeuzwa $50,000 haiwi gari itabaki kuwa kandambili.
Hahaha ubora ni upi?!Sasa kuna faida gani KUVAA KIATU KAMA NGARAWA....si bora mwenye KUBAZI?
Sent using Jamii Forums mobile app