Ni sahihi kuvaa kandambili au kobazi kwenye public?

Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
8,381
10,839
Kwanini watu wanazurura wamevaa kandambili?! Mjini katikati mtu kavaa kandambili!

Unakuta miguu ina vumbi kupitiliza. Kwanini watu hawa wasivae viatu vinavyofunika miguu yao?!

Hizi kandambili za kuvaa huko bafuni kwenye mabafu yetu lakini kuna watu wamefanya ni kama viatu rasmi. Unakuta mtu kucha hadi zimefanana na ardhi, kwanini hawapendi kuvaa viatu?!

Kinadada wana vijikandambili wao huita simple,! Hata sielewi huu ni utamaduni au umasikini au kutokuelewa?!
 
Kuna zile kandambili za 3000 mpaka 5000 hizo poa sana kuzunguka nazo mjini hasa kipindi cha joto

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kwani bei ya kandambili ina halalisha uchafu?! Hata zingeuzwa laki sioni usahihi wa hili. Joto gani hilo kuna watu nitabia zao tu. Kwani ukivaa kandambili joto linaisha?! Utetezi huu siukubali
 
Kwanini watu wana zurura wamevaa kandambili?! Mjini kati kati mtu kavaa kandambili, unakutamuhimu, ina vumbi kupitiliza. Kwanini watu hawa wasivae viatu vinavyo funika miguu yao?!
Hizi kandambili za kuvaa huko bafuni kwenye mabafu yetu, lakini kuna watu wamefanya ni kama viatu rasmi. Unakuta mtu kucha hadi zimefanana na ardhi, kwanini hawapendi kuvaa viatu?!
Kuna dada wana viji kanda mbili wao huita simple,! Hata sielewi huu ni utamaduni au unasikini au kutokuelewa?!
Vyuma vyuma mkuu.....hatuna hela za kununulia viatu vya kufunika.
 
Huu ni ushauri au mipasho
Hahaha watu wabadirike, ukiwa mjini angalia unakuta mtu juu msafi, chini kavaa kanda mbili halafu miguu michafu wengine hadi kucha hazionekani kwa wingi wa vumbi. Tuvae viatu vya kufunika miguu.
 
Kwanini watu wana zurura wamevaa kandambili?! Mjini kati kati mtu kavaa kandambili, unakutamuhimu, ina vumbi kupitiliza. Kwanini watu hawa wasivae viatu vinavyo funika miguu yao?!
Hizi kandambili za kuvaa huko bafuni kwenye mabafu yetu, lakini kuna watu wamefanya ni kama viatu rasmi. Unakuta mtu kucha hadi zimefanana na ardhi, kwanini hawapendi kuvaa viatu?!
Kuna dada wana viji kanda mbili wao huita simple,! Hata sielewi huu ni utamaduni au unasikini au kutokuelewa?!
sheria gani inakataza hayo?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom