Ni sahihi kukamata pikipiki zisizo na bima?

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
Nauliza tu ili nijue kwa sababu leo polisi wa Arusha walikuwa wanakama kamata pikipiki zisizo na bima. Bungeni si nilisikia kwamba wamezifuta hizi mambo?
 
nauliza tu ili nijue kwa sababu leo polisi wa Arusha walikua wanakatamta pikipiki zisizo na bima. bungeni si nilisikia kwamba wamezifuta hzi mambo?
sasa ndugu zangu wanajf ndo mjue, ni jinsi gani? polisi wanapopata tabu, kumuelewesha ili waikamate pikipiki yake? tayari ameishajenga taswira hiyo, yy pamoja na kikundi chake cha wanabodaboda, wanapigiana simu wanawazingira polisi kwa uonevu wao [kutaka kukamata pikipiki isiyo na insurance] vurugu inatokea , amani inatoweka tujiulize LAWAMA ZIENDE WAPI?
 
sasa bima ya pikipiki inasaidia nini,leo pikpiki yangu ikiungua watanilipa?
 
We darasa la ngap chekechea au? Ninawasi was na elimu yako ndugu....

Usizarau! Wewe serekali ikikuambia ulipie bima baiskel utaielewa vp? Halafu hizi bima ndogo [third parts]zinazotozwa kwenye pikipiki na magari hazimsaidii chochote mmiliki wa chombo panapotokea matatizo, ni aina flani ya wizi tu! Fikirii"
 
Bado tuna kazi kubwa sana mbele ta safari kama mtu hajui bima ni nini mpaka sasa
 
Bado tuna kazi kubwa sana mbele ta safari kama mtu hajui bima ni nini mpaka sasa
Cha msingi swala la bima liwe jambo la hiyari na sio lazima maana sio lazima mtu kulipwa pale kifaa chake kinapo haribika ibaki kuwa hiyari ya mtu binafsi kukatia chombo chake bima au laa.
 
nauliza tu ili nijue kwa sababu leo polisi wa Arusha walikua wanakatamta pikipiki zisizo na bima. bungeni si nilisikia kwamba wamezifuta hzi mambo?
Umerogwa wewe.
Chombo cha moto hakiruhusiwi kuingia barabarani kama hakina bima
 
Cha msingi swala la bima liwe jambo la hiyari na sio lazima maana sio lazima mtu kulipwa pale kifaa chake kinapo haribika ibaki kuwa hiyari ya mtu binafsi kukatia chombo chake bima au laa.
Are you serious? Kumbe JF kuna mabwege kiasi hiki?
 
Usizarau! Wewe serekali ikikuambia ulipie bima baiskel utaielewa vp? Halafu hizi bima ndogo [third parts]zinazotozwa kwenye pikipiki na magari hazimsaidii chochote mmiliki wa chombo panapotokea matatizo, ni aina flani ya wizi tu! Fikirii"
Kazi ipo, sijui ulienda shule ipi mwenzetu, badala ya kupata elimu uneupata uzuzu. Nani kakwambia third party haisaidii? Gari yako ikigonga nyumba, ukiwa na 3rd party, fidia ya nyumba italipwa na bima, wee na mkweche wako mtaenda kukopa sacoss urudishe gari barabarani. Huoni kwamba hapo tayari umepunguziwa mzigo wa kulipa ile nyumba uliyoigonga?
 
BINAFSI nina pikipiki ila tangu ninunue sijawahi kulipa bima na wala sitakuja kulipa bima.sababu ni kuwa sioni faida ya kulipa bima kwenye pikipiki.(2)bima ya pikipiki kwa mwaka ni 50000/-inaweza ikatokea ukakamtwa na police ukimpa sh. 5000/-anakuachia kwa kuwa hata yeye haoni faida za bima kwenye pikipiki
 
Back
Top Bottom