Ni sahihi Bank kuwa wazi mpaka usiku? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni sahihi Bank kuwa wazi mpaka usiku?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by majany, Jun 30, 2012.

 1. majany

  majany JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 30, 2008
  Messages: 1,199
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Kwa ninavyofahamu B.O.T anaregulate commercial banks zoote,pia other financial institutions....hivi ni sahihi kwa banking hall kuwa wazi mpaka saa mbili usiku???Yaani huyu regulator(BOT) hana rules zinazo 'oversee' security ya mabenki???
  Kwangu mie naona banking hall yabidi zifungwe kwenye muda husika uliopangwa....Hii nimeishuhudia kwa Access Bank....sidhani kama wako sahihi..
   
 2. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Sidhani kama BOT wana regulate hadi muda wa mabenki kufanya kazi, vinginevyo watakuwa wanaingilia hata uhuru wao kufanya kazi. Muhimu kwa BOT ni pesa (amana ) za watu kuwa salama. Hata hivyo wajuvi wa hii kitu watakuja kukupasha muda si mrefu.
   
Loading...