Ni sabuni gani nzuri ya kuogea mwanaume

Shower gel ya nivea for men

Nzuri sana tena inaacha ukiwa refreshed na bafu hunukia vizuri muda mrefu
Hii pamoja na Dove shower gel, Dettol showe gel, zote harufu ni moja, hazina maajabu, na hata ingredient wamekopiana na kupaste.
Labda uweke picha.
 
Chagua yoyote laini, hasa ya kuogea usipendelee tu medicated soap[zenye dawa] labda kama unataka kutibu ugonjwa.
 
Jamaa

mwanaume hutakiwi kuwa na mambo ya kike kike.
Kukaa chini kufikiria sabuni ya kuogea ni tatizo we nenda bafuni kama umeoa utaikuta huko.
Kama ni kama mimi unaweza kuogea hata sabuni ya unga tuu.

Shikamooni madingi.
Tafuta pesa mkuu
 
Back
Top Bottom