Ni sababu zipi zinawafanya Lissu na Lema kuendelea kuishi ng'ambo?

Kajeba

JF-Expert Member
Oct 15, 2020
800
1,921
Ni sababu zipi zinawafanya Lissu na Lema kuendelea kuishi ng'ambo?

Itakumbukwa baada ya uchaguzi mkuu 2020 Lissu na Lema walikimbia nchi na kujitwisha majina ya wakimbizi wa kisiasa hapa nchini na wakapewa hifadhi nchi za mbali huko Belgium and Canada.

Wakati ule they had genuine reasons na kila mtu aliwaunga mkono kwa maamuzi waliyoyachukua.

No doubt walikuwa wanamkimbia rais wa awamu ya tano ambaye alionekana mwiba kwa wapinzani na wakosoaji wake, sasa tuko na rais wa awamu ya sita kila kitu ni shwari, kwanini watu hao wasirejee nchini?

Je wanakimbia u-jobless hapa nchini baada ya vibarua vyao vya kuwakilisha wananchi kukoma?
 
Itakumbukwa baada ya uchaguzi mkuu 2020 Lissu na Lema walikimbia nchi na kujitwisha majina ya wakimbizi wa kisiasa hapa nchini na wakapewa hifadhi nchi za mbali huko Belgium and Canada

Wakati ule they had genuine reasons na kila mtu aliwaunga mkono kwa maamuzi waliyoyachukua

wewe nini kinakuumiza?
 
Zikifutwa kesi zote walizobambikiwa kisiasa,na kulipwa haki zote zolizo dhulumiwa. Nauchunguzi dhidi ya waliojaribu kuwa dhuru.
 
Kwa sasa hayo yote yalishapita tupo zama mpya, nini kinawaweka huko?
Kujitwisha? Unasemaje Lsu kupigwa risasi? Mjomba wa Magufuli kusema akija safari hii tunatumia sindano kumuua? Wana genuine reason kuhofia maisha yao. No politics is worthy their life
 
Hii sio sababu
Mama alishaagiza kesi za namna ile zote zifutwe, wao wanaogopa nini
Zikifutwa kesi zote walizobambikiwa kisiasa,na kulipwa haki zote zolizo dhulumiwa. Nauchunguzi dhidi ya waliojaribu kuwa dhuru.
 
Naskia Canada pazuri sana, maisha yanakufata huyatafuti.

Ila Lema kuna siku alipost picha za "watoto" wake wakali twitter akawauliza mmeoga leo? then akawaambia nakuja soon.
 
Upembuzi wa kina inabidi ufanyike ili kujua adui wa kweli wa hao watu ulio wataja alikuwa ni nani, maana unaemtaja ukiacha madaraka yake yale mengine alikuwa mwenyekiti wa chama chake.
Mapokeo ya mateso na ukatili yaliranda hadi kuvifikia viambaza vya jumba letu la haki na taratibu za familia yetu, na huko ndiko tulikoshuhudia vituko Lisu akiwa mjumbe wetu katika jumba hilo na ameumia akiwa kazini, mh hadi leo huwa siamini macho na masikio yangu kuhusu alicho kifanya mzee wa baraza,alikataa kulipa matibabu,akamfukuza kazi na kumpa mateso mengi ya kisaikolojia.
Haya akasema adamke akalalamike kunako PILATO wetu kuhusu maamzi ya mzee wa baraza kubagaza haki zake, unayakumbuka majibu ya pilato? Na walinzi wetu nao je, wewe hujasikia kuwa upelelezi umekwama kumsubiri dereva wa mlalamikaji! maajabu,hukusikia wenzetu mabeberu walijitolea wamtafute huyo adui wa Lisu, ulisikia majibu yao? hahahaha kuwa eti wanao ueledi wa kinguli kumaliza tatizo hili, ulisha wahi kusikia wamemjua mhusika?
HAKI,HAKI,HAKI bado ingali tumboni mwa mama yake!
kwa kifupi adui wa LISU hajulikani hadi leo kwa hali hiyo HATARI juu ya maisha yake bado ipo.
 
Adui angalao anaweza kwasehemu kujulikana .
Mfikirie huyo aliyeweza kumvua Ubunge,kumyima fedha za matibabu na kumdhulumu haki zake!
 
Ni sababu zipi zinawafanya Lissu na Lema kuendelea kuishi ng'ambo?

Itakumbukwa baada ya uchaguzi mkuu 2020 Lissu na Lema walikimbia nchi na kujitwisha majina ya wakimbizi wa kisiasa hapa nchini na wakapewa hifadhi nchi za mbali huko Belgium and Canada.

Wakati ule they had genuine reasons na kila mtu aliwaunga mkono kwa maamuzi waliyoyachukua.

No doubt walikuwa wanamkimbia rais wa awamu ya tano ambaye alionekana mwiba kwa wapinzani na wakosoaji wake, sasa tuko na rais wa awamu ya sita kila kitu ni shwari, kwanini watu hao wasirejee nchini?

Je wanakimbia u-jobless hapa nchini baada ya vibarua vyao vya kuwakilisha wananchi kukoma?
Hao ni COMEDIAN ndugu yangu.....
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom