Ni sababu zipi zinawafanya Lissu na Lema kuendelea kuishi ng'ambo?
Itakumbukwa baada ya uchaguzi mkuu 2020 Lissu na Lema walikimbia nchi na kujitwisha majina ya wakimbizi wa kisiasa hapa nchini na wakapewa hifadhi nchi za mbali huko Belgium and Canada.
Wakati ule they had genuine reasons na kila mtu aliwaunga mkono kwa maamuzi waliyoyachukua.
No doubt walikuwa wanamkimbia rais wa awamu ya tano ambaye alionekana mwiba kwa wapinzani na wakosoaji wake, sasa tuko na rais wa awamu ya sita kila kitu ni shwari, kwanini watu hao wasirejee nchini?
Je wanakimbia u-jobless hapa nchini baada ya vibarua vyao vya kuwakilisha wananchi kukoma?